ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #81
Mr basha,mfiraji mashuhuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr basha,mfiraji mashuhuri
Muhimu
Vifaa vyenye maneno magumu kazi ya kutabiri ikanishinda ikanibid niwashirikishe Google.nikajua hizo zana zinapatikana studio obvious Jamaa Ni producer wa miziki1.DAW + Power PC
2.Scarlett 2i4 Interface
3.Oxygen 49 MIDI
Aidha muuza visu
Simple Sana Jamaa wewe Ni mwanachama Mtiifu na kiongozi mwandamizi wa CHAPUTA.ila sisi TUnataka kazi inayokuingizia hela hapa mjini
Mmmh sleeping bag means unaweka kambi popote wewe utakuwa mwindaji au mwanajeshi lakini kaz zako maporini porini penye miti mingiKisu
Kibiriti
Sleeping bag
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Uko bank au taasisi yoyote af we ndo accountant wao au pia kwenye duka la madini hivi
Vyote hivyo ni vya survival na ni lazima niwe navyo kwa maisha yangu ya kila sikuMmmh sleeping bag means unaweka kambi popote wewe utakuwa mwindaji au mwanajeshi lakini kaz zako maporini porini penye miti mingi
Fundi garage ila muhuni fulani
Yap kiongoziUko bank au taasisi yoyote af we ndo accountant wao au pia kwenye duka la madini hivi
Umenikumbusha mbali.. Siku hiz situmii mwendo wa kupigwa bites na waduduHii list niongeze na vyangu twende pamoja ila sio vyako
Night vision, sleeping bag na lighter
Nimeweka vyangu hapo juu kwa matumizi hayo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Inatakiwa kila unapoenda kujisaidia unaangalia nani kajistiri humo.Umenikumbusha mbali.. Siku hiz situmii mwendo wa kupigwa bites na wadudu