Comment vifaa vitatu ambavyo vinakuzunguka eneo la kazi

Comment vifaa vitatu ambavyo vinakuzunguka eneo la kazi

Hivi vifaa vingesindikizwa na kapicha ingekuwa poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu
IMG_20190311_071215.jpeg
IMG_20190311_071141.jpeg
IMG_20190311_071005.jpeg
 
Mmmh sleeping bag means unaweka kambi popote wewe utakuwa mwindaji au mwanajeshi lakini kaz zako maporini porini penye miti mingi
Vyote hivyo ni vya survival na ni lazima niwe navyo kwa maisha yangu ya kila siku


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Umenikumbusha mbali.. Siku hiz situmii mwendo wa kupigwa bites na wadudu
Inatakiwa kila unapoenda kujisaidia unaangalia nani kajistiri humo.
Nakumbuka miaka ya nyuma sana kuna jamaa alitoka kwenye sleeping bag yake kwenda kujisaidia ile kurudi kaingia na kufunga zipu duu kumbe kuna nyoka kaingia humo jamaa aliwahiwa mara tatu


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom