Comment za kuchekesha mitandaoni

Comment za kuchekesha mitandaoni

*Mume amempigia simu mtalaka wake ataka warudiane*

Mume : Nisamehe naomba turudiane
Mke : Una kikombe hapo?
Mume : No! Kwanini?
Mke : Kachukue kikombe jikoni
Mume : Sawa nishaenda chakua, Sema...
Mke : Kibwage kuanzia juu mpaka chini...
Mume : Eeh! Haya tayari
Mke : Kimevunjika sio!!... Sasa kirudishe kilivokua...
Mume : No, hakijavunjika, nilichukua cha plastic...
Mke : Muone vile!!!.. wewe mwanaume mkorofi sana, haya njoo unichukue[emoji28][emoji28][emoji28]

*MAKOFI KWETU WANAUME POPOTE TULIPO*[emoji122][emoji122][emoji122]
Mamaeeee
 
[emoji1787][emoji1787]
IMG_20200726_124734_025.jpg
 
Back
Top Bottom