toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,118
Post yangu ya kwanza nimesema muende mahakamani zote, tokea Tanzania, EAC, mpaka AU unataka kusema na huko kote hamtapewa haki?Mahakama ipi unazungumzia wewe!? Hii mahakama ambayo kisheria ilistahili kumpa Lema dhamana asilale rumande hata kwa wiki lakini sheria ikapindwa na dikteta uchwara hivyo kunyimwa dhamana na kukaa rumande kwa zaidi ya miezi minne!?
Post yangu ya kwanza nimesema muende mahakamani zote, tokea Tanzania, EAC, mpaka AU unataka kusema na huko kote hamtapewa haki?
Good luck with that war, lakini kauli kama hizi ndio zinawafanya Watanzania kuangalia upande mwingine. From 35% to 17%.Kwani wewe ni nani uiamulie Chadema vile inataka kupambana na huyu fisadi uchwara? Chadema ina watu vichwa sana hivyo acha Chadema iamue namna ambavyo inataka kupambana na huyu dikteta uchwara. Ikiwa inataka kufanya hivyo kwa njia yoyote ile ikiwemo news conference hakuna ubaya wowote ule.
Akishakuwa ni dikiteta uchwara maana yake sio dikiteta!. Uchwara maana yake not real, its fake!. Jee Magufuli ni dikiteta kweli au ni dikiteta uchwara?.Characteristics of a dictator, and they fit very well with dikteta uchwara Magufuli.
Yote haya niliyoweka rangi yanafanyika ndani ya hii serikali dhalimu ya dikteta uchwara ambayo sasa inashabihiana sana na iliyokuwa Serikali ya makaburu kule South Africa.
Good luck with that war, lakini kauli kama hizi ndio zinawafanya Watanzania kuangalia upande mwingine. From 35% to 17%.
Akishakuwa ni dikiteta uchwara maana yake sio dikiteta!. Uchwara maana yake not real, its fake!. Jee Magufuli ni dikiteta kweli au ni dikiteta uchwara?.
Ninaliazima hili bandiko ili kulitumia kama mbolea kurutubisha mabandiko yangu kuhusu udikiteta ili dikiteta wetu asitufikishe huku.
P.
We no longer need opposition in Tz,we can do much better without them.Elimu Elimu Elimu what i hate the most is this tendency of believing whoever criticises magufuli then he is perceived as an anti-development icon!!!!!
What Tundu lisu was trying to stress out among others was about democracy which has been deprived from most political parties in TZ mainly opposition and this is a fact whether magufuli has bought bombardiers , SGR and so on it doesnr change the fact that he has a dictatorial and authoritarian characteristics
So instead of piling questions to Lisu which most are to justify magufuli legitimacy and credibilty its better you use this precious time ro advise ghe president to practice democracy as stated in our constitution
What i hate about most magufuli supporters they try to hide his weaknesses within his achievements......whoever criticizes magufuli because of 1 or 2 issues they quickly run to explain his achievements...... lisu said magufuli is a dictator i havent seen anywhere in ur article where you have adressed that motion rather 90% ur either attacking lissu and chadema or praising magufuli leadership skills
Instead of wasting ur energy better advise ur president to be lenient with democracy otherwise let him declare its an authoritarian state and banish all political parties rather than claiming its a democratic country while he is not abiding to the constitution of the country
AS PER NOW NO ONE HAS BEEN ABLE TO CLEARLY CONVINCE US THAT LISU IS WRONG ABOUT MAGUFULI..... ALL ARE JUST BEATING AROUND THE BUSH
Ndio maana mkuu nakukubali sana,huku nikiona post yako nafunga brekiWewe naye ndiyo wale wale. Tumia majibu ya Ikulu ambayo yanakanusha uvunjaji wa sheria za nchi na katiba ya nchi na kutaka kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kwamba utawala huu dhalimu unaheshimu katiba na sheria za nchi, kuheshimu mahakama na uhuru wa vyombo vya habari, freedom of expression wakati siyo kweli. Udikteta uchwara ni pale katika jumuiya ya kimataifa unataka kujionyesha wewe unaheshimu demokrasi kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi ikiwemo uchaguzi huru na wa haki lakini ndani ya nchi yako hali haiko hivyo.
Acha kudumaza akili yako Pascal kwa unafiki na undumilakuwili uliokithiri.
Kidhungu chenyewe kachapia mbaya.......ungetafsiri kwa kiswahili ingekua poa sana ili kuwapa nafasi wenzetu wa Lumumba nao waweze kuchangia hapa!
Ndio maana mkuu nakukubali sana,huku nikiona post yako nafunga breki
umenipunguzia machungu kidogo ya maisha, kumbe bado tupo tunaouelewa ukweli wa mambo.The truth is kuna mambo mazuri sana yanafanywa na serikali hasa rais.
Lakini haki inatoweka, sheria zinatoweka. Weledi unapotea. Watanzania wamegeuzwa kuwa robots not thinkers. Kamanchi tutakufa tukiendelea hivi.
Ndiyo ni hali nzuri kwa watawala wa awamu hii kwani watu wamefungwa midomo kwa hiyo watafanya wanalotaka zuri na baya. Lakini matokeo ya muda mrefu ni mabaya kwa nchi nzima. Hata kwa wale watakaosema "sasa ni zamu yetu". Kwa sababu nchi inakuwa na nguvu kufuatana na sehemu zake zote. You are as strong as all your body parts. Sehemu moja ya mwili wako kama ni dhaifu huwrzi kuwa na nguvu. Hata nchi ni hivyo.
Naona kama watanzania tumesahau kuifikiria Tanzania yetu ya leo na kesho.
Inatisha sana tunapoweka vyama mbele ya kila kitu.
Je kuna heshima gani kwa nchi yetu wanaposikia wenzetu wa nje kuwa kila leo watu wako jela bila sababu.
Ccm wanakuwa na sifa gani wanapopigana na rushwa na huku wanahonga wanachama wa vyama vingine.
Rais una heshima gani unaporuhusu katibu wa chama chako kuzunguka nchi nzima na kuwafunga wengine wakifanya hivyo hata mara moja.
Hawa wanaotetea utawala unaodharau sheria na haki za kikatiba na za binadamu wanapata furaha gani hasa.
Ni vema mkuu akiongea na vyama vingine kuhusu njia bora ya kuwasilisha malalamishi yao bila ugomvi.
Hii itaepusha hasira nyingi.
Ilivyo sasa hivi vyama vimechanganyikiwa. Hawajui ni lipi sahihi.
Nimewasilisha.
I concur with you and TL after makinika saga is not credible to criticize JPM by any standard as he was siding themYes brother, Tundu Lisu is working hard to drive Tanzanians on Looking at negative things done by President Magufuli.
Lisu is ignoring all good things which are being implemented by The President.
He make us to see to it that, the political opponent of Chadema is no more CCM, but President Magufuli.
Magufuli have driven Chadema out of their political move, they have completely forgotten to advocate their political
policy.
They are no longer fighting for Warioba Constitution, Free Election Comittee and Better Social Service.
The plan for M4C, UKUTA, UKAWA, UFISADI and the like, are at the momment, placed in dust bin.
I see Chadema loosing direction on political arena, because of seeing Magufuli as a political party and not a human being who can make mistake.
If Magufuli is out of political game, (at the moment) what are we expecting to hear from Lisu and Chadema ?
CCM has no or opponent on their way to 2020.
Chadema is chasing Magufuli, CUF is chasing Lipumba.
ACT, Wazalendo is chasing Ana Mgwila
What an advantage.
ungetafsiri kwa kiswahili ingekua poa sana ili kuwapa nafasi wenzetu wa Lumumba nao waweze kuchangia hapa!
Elimu Elimu Elimu what i hate the most is this tendency of believing whoever criticises magufuli then he is perceived as an anti-development icon!!!!!
What Tundu lisu was trying to stress out among others was about democracy which has been deprived from most political parties in TZ mainly opposition and this is a fact whether magufuli has bought bombardiers , SGR and so on it doesnr change the fact that he has a dictatorial and authoritarian characteristics
So instead of piling questions to Lisu which most are to justify magufuli legitimacy and credibilty its better you use this precious time ro advise ghe president to practice democracy as stated in our constitution
What i hate about most magufuli supporters they try to hide his weaknesses within his achievements......whoever criticizes magufuli because of 1 or 2 issues they quickly run to explain his achievements...... lisu said magufuli is a dictator i havent seen anywhere in ur article where you have adressed that motion rather 90% ur either attacking lissu and chadema or praising magufuli leadership skills
Instead of wasting ur energy better advise ur president to be lenient with democracy otherwise let him declare its an authoritarian state and banish all political parties rather than claiming its a democratic country while he is not abiding to the constitution of the country
AS PER NOW NO ONE HAS BEEN ABLE TO CLEARLY CONVINCE US THAT LISU IS WRONG ABOUT MAGUFULI..... ALL ARE JUST BEATING AROUND THE BUSH
Mku huu ni mchango wake unamaana kubwa kwani kiuhalisia mambo yanaonekanaJamani people of good will mshaurini Rais ajaribu kuleta umoja na uzalendo nchini. Anaisogeza nchi kwenye vita badala ya viwanda. Chuki inazidi kuchemka. Ni kwa nini viongozi wa zamani wako kimya hivi. Angalau Warioba na wale wasafi wachache waseme ukweli. Nchi haiko sawa. Vinyongo ni vingi mnokuhusu uonevu.
Inauma ila Lisu kaema asikilizwe. Mambo ya"sasa zamu yetu" hayafai. Kesho ikiwa zamu ya wengine itakuwaje?
Tusiwe short sighted. Let us be visionaries!