Commentary Kuhusu Video ya Tundu Lissu Inayosambazwa

Mahakama ipi unazungumzia wewe!? Hii mahakama ambayo kisheria ilistahili kumpa Lema dhamana asilale rumande hata kwa wiki lakini sheria ikapindwa na dikteta uchwara hivyo kunyimwa dhamana na kukaa rumande kwa zaidi ya miezi minne!?
Post yangu ya kwanza nimesema muende mahakamani zote, tokea Tanzania, EAC, mpaka AU unataka kusema na huko kote hamtapewa haki?
 
Kwani wewe ni nani uiamulie Chadema vile inataka kupambana na huyu fisadi uchwara? Chadema ina watu vichwa sana hivyo acha Chadema iamue namna ambavyo inataka kupambana na huyu dikteta uchwara. Ikiwa inataka kufanya hivyo kwa njia yoyote ile ikiwemo news conference hakuna ubaya wowote ule.

Post yangu ya kwanza nimesema muende mahakamani zote, tokea Tanzania, EAC, mpaka AU unataka kusema na huko kote hamtapewa haki?
 
Good luck with that war, lakini kauli kama hizi ndio zinawafanya Watanzania kuangalia upande mwingine. From 35% to 17%.
 
Akishakuwa ni dikiteta uchwara maana yake sio dikiteta!. Uchwara maana yake not real, its fake!. Jee Magufuli ni dikiteta kweli au ni dikiteta uchwara?.

Ninaliazima hili bandiko ili kulitumia kama mbolea kurutubisha mabandiko yangu kuhusu udikiteta ili dikiteta wetu asitufikishe huku.

P.
 
Ahsante kwa andiko zuri ila tumpuuze tu Lisu kama walivyo mpuuza Chadema, maana Mbowe kampa Lisu nafasi achimbe shimo aingie mwenyewe
 
Kwa akili ya ZUZU hilo ndiyo hitimisho lako, kama Watanzania wangekuwa wanaangalia upande mwingine basi kungekuwa hakuna sababu ya kuogopa uchaguzi huru na wa haki kupitia katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi.


Good luck with that war, lakini kauli kama hizi ndio zinawafanya Watanzania kuangalia upande mwingine. From 35% to 17%.
 
Wewe naye ndiyo wale wale. Tumia majibu ya Ikulu ambayo yanakanusha uvunjaji wa sheria za nchi na katiba ya nchi na kutaka kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kwamba utawala huu dhalimu unaheshimu katiba na sheria za nchi, kuheshimu mahakama na uhuru wa vyombo vya habari, freedom of expression wakati siyo kweli. Udikteta uchwara ni pale katika jumuiya ya kimataifa unataka kujionyesha wewe unaheshimu demokrasi kwa kuheshimu katiba na sheria za nchi ikiwemo uchaguzi huru na wa haki lakini ndani ya nchi yako hali haiko hivyo.

Acha kudumaza akili yako Pascal kwa unafiki na undumilakuwili uliokithiri.

 
We no longer need opposition in Tz,we can do much better without them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme tusemavyo. Upinzani kazi yao kupinga.

Ukiwa mpole wanakuita dhaifu ukiwa mkali wanakuita dikteta.

Ukinunua ndege wanakuuliza pesa umetoa wapi, kama hukununua wanakuuliza pesa zinakwenda wapi hata ndege hatuna.

Ukiwaambia wacheni porojo tufanye kazi ya kuijenga nchi wanakwambia unaminya demokrasia na huwaruhusu kuongea, wakati huohuo wanakuita "dikteta uchwara" na bado wanapeta.

Akiwa msukuma kwenye nafasi yoyote serikali ni wana sema "mjomba" wake rais. Wakati huohuo kwao, wanarithishana mpaka uenyekiti kutoka mkwe kwa mkazia mwana. Bungeni mahala pekee kwenye fursa ya kuchaguana wamejaza mahawara zao, watoto zao, dada zao na wengine sijui ni michepuko tu.

Rais akisema hasomeshi watoto waliotiwa mimba, wao wanajulikana kabisa kuwa ni watoto wa mimba za utotoni zilizoridhiwa na mama zao (mababa wanakisiwa tu) ndio wa kwanza kusimama na kutukana.

Upinzani mmoja akiwa na mawazo tofauti na wasema hivyo na akitoa maoni yake au kusifu kidogo juhudi za serikali basi wale wasiofaidika nae humuita msaliti. Ikitokea mpinzani akaisifu serikali lakini wanafaidika nae basi huyo hukaliwa kimya hawanyanyui mdogo kumuita msaliti.

Tusiwalaumu sana ni uelewa wao tu finyu wa maana ya neno upinzani, au ni IQ?

Iwe kweli au si kweli minakasha hii inazidi kunihakikishia utafiti ule wa mtu mweusi kuwa na IQ ndogo ni wa kweli.
 
Ndio maana mkuu nakukubali sana,huku nikiona post yako nafunga breki
 
Reactions: BAK
umenipunguzia machungu kidogo ya maisha, kumbe bado tupo tunaouelewa ukweli wa mambo.
 
I concur with you and TL after makinika saga is not credible to criticize JPM by any standard as he was siding them
 
ungetafsiri kwa kiswahili ingekua poa sana ili kuwapa nafasi wenzetu wa Lumumba nao waweze kuchangia hapa!

Sema ufipa wajibu,kwa Lumumba hawana cha kutakiwa kujibu.Ameeleza kina kwa nini anakubali JPM,ametaka waliobadili gia angani watueleze wanasimamia agenda ipi kwa sasa.
 

The best way for oppositions to solve their/our problems (if at all they have/we facing problems is to seek foreign support.With such kind of brain do we still need to trust them for higher positions in our country?
 
Mku huu ni mchango wake unamaana kubwa kwani kiuhalisia mambo yanaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…