Commentary Kuhusu Video ya Tundu Lissu Inayosambazwa

of creativity I doubt! of his totalitarianism and authoritarianism yes!
 
malalamishi as usual. hakuna serikali na watu makini watajiingiza mambo ya kujibizana na kichaaa. Enzi za USSR kulikuwa na jela mahsusi kwa ajili ya vichaa wa namna hii, and they ended up there.
Serikali makini hana mbona imemjibu lisu tena majibu ya kitoto ambayo hta mmi na ukilaza wangu nisingejibu kitoto vile yaani wanaulizwa sheria ya vyama imekiukwa wakajibu kwa kuordhesha sheria zilizopo kwenye makaratasi tu ambazo tanzania imeziweka ili kuruhusu uhuru wa kisiasa/maoni but hawakuzungumzia implementation yake!!!! Sasa hayo ni majibu kweli mfano bunge live wakajibu "nchi ngapi zinaonyesha bunge" heehehehee au unakubali kuwa serikali yetu sio serikali makini????

Mpelekeni lisu jela tu hatokuwa wa kwanza na wa mwisho mbona mlishawafungaga kina kigaila cjui lema na mdee ila mmefaidika nni so far??? Viwanda vimeongezeka??? Jibuni hoja kma mmeshindwa kaa kimya musubiri kuandaa maandamano kumpongeza mwenyekiti wenu hayo mengine sio level yako tusubiri wati wenye reasoning kma kabudi ndio waje kujibu
 

Well said!!
 
Enough said.
 
big picture?
Big picture ??? Hakuna kujustify ujinga bhana magufuli is a dictator na itabaki kuwa hivyo whether amejenga reli sijui kapambana na ufisadi and rushwa hoha bado inabaki ameleta ukandamizaji wa demokrasia mkubwa sana hutaki acha
 
What stuff you think he has wrote?

He has wrote ????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli Lumumba ngeliless Hahahaha qubabeke duh nimeamini Lumumba buku jero ni zero / bashite
 

Ujinga ni kutokuona ukweli unapombiwa ukweli unless kama mwandishi hayupo Tanzania, leaders provide vision, manager manage people as things and not like human being. Magufuli is good at dealing with people but he is not a leader who knows the constitution and who can uphold the pillars of democracy. He believes he knows everything in this world, but time is a good judge.
 
He has wrote ????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli Lumumba ngeliless Hahahaha qubabeke duh nimeamini Lumumba buku jero ni zero / bashite
Kutojua lugha flani sio ujinga...isitoshe mimi ninajifunza hapa sioni haja ya kuwa na aibu. Kumbuka mficha maradhi kifo humuumbua.....wewe unanicheka kana kwamba ulizaliwa unajua.
 
Kutojua lugha flani sio ujinga...isitoshe mimi ninajifunza hapa sioni haja ya kuwa na aibu. Kumbuka mficha maradhi kifo humuumbua.....wewe unanicheka kana kwamba ulizaliwa unajua.

Huna lolote unalialia nini ?? Kama huijui unaandika ya nini ??

Ninyi hamna tofauti na wale wanaosoma mpka PhD kwa kutumia English halafu hawaijui sasa sijui walikuwa wana kariri dah ni shida
 

Well said brh
 
Ndo maana El alisisitiza kamsemo haka :elimu! Elimu! Elimu. Sasa ndugu unaelimu ila umeshindwa kuitumia vizuri, usiwe mvivu kufikiri, kutafakari mtopoa post
 
Kwa akili ya ZUZU hilo ndiyo hitimisho lako, kama Watanzania wangekuwa wanaangalia upande mwingine basi kungekuwa hakuna sababu ya kuogopa uchaguzi huru na wa haki kupitia katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi.


Seriously? hivi kuna mtu leo hii na one legged opposition ataogopa uchaguzi kweli? really???
 

Je unatoka kanda ya ziwa? Je unaamini haki ni muhimu kuliko vitu? Je ni halali ccm inavyofanya na kukataza vyama vingine kufanya kama wanavyofanya??
 
Reactions: BAK
I think the author no wonder how best he tried to drive his points in favour of his mentor which i also agree, he failed miserably in addressing the other side of the coin which were the basis complained about by Mr. Lisu. Unless you address positives and the negatives which were core critics brought by Lisu then your arguments are one side and cannot be admitted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…