Comments zinazokera kwenye Uzi

R na L nimejifunza kutofautisha humu humu JF. Waliokua wanakwazika wamenisaidia aisee. Shida wengine standard 1 to 3 ndio tulikua watundu hata shule sometimes hatufiki.
R Na L ni makosa ya kisarufi au kimsamiati, kama makosa ya kimsamiati unawezaje kubadilika ??
 
Ni kweli kurekebishana kunajenga, huwa kuna kujifunza ndani yake, hata kama mtu atachukia.

Japo wengine hufanya kwa kukomoa.
Jirekebishe tu kama umekosea hata kama wanakurekebisha kwa kukomoa
 
Makosa yoyote unaweza kusahihisha kama akili yako ni njema,una nia na unaweza kutia mkazo kwenye kitu.
R Na L ni makosa ya kisarufi au kimsamiati, kama makosa ya kimsamiati unawezaje kubadilika ??
 
R na L nimejifunza kutofautisha humu humu JF. Waliokua wanakwazika wamenisaidia aisee. Shida wengine standard 1 to 3 ndio tulikua watundu hata shule sometimes hatufiki.
Hongera mkuu
 
Wamekuskia mkuu, watayafanyia kazi
 
Namba 4 na 7 napenda sana kuzitumia Ngoja wajuzi waje kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…