Comments zinazokera kwenye Uzi

Comments zinazokera kwenye Uzi

R na L nimejifunza kutofautisha humu humu JF. Waliokua wanakwazika wamenisaidia aisee. Shida wengine standard 1 to 3 ndio tulikua watundu hata shule sometimes hatufiki.
R Na L ni makosa ya kisarufi au kimsamiati, kama makosa ya kimsamiati unawezaje kubadilika ??
 
Ni kweli kurekebishana kunajenga, huwa kuna kujifunza ndani yake, hata kama mtu atachukia.

Japo wengine hufanya kwa kukomoa.
Jirekebishe tu kama umekosea hata kama wanakurekebisha kwa kukomoa
 
R na L nimejifunza kutofautisha humu humu JF. Waliokua wanakwazika wamenisaidia aisee. Shida wengine standard 1 to 3 ndio tulikua watundu hata shule sometimes hatufiki.
Hongera mkuu
 
Namba 4 na 7 napenda sana kuzitumia Ngoja wajuzi waje kujibu
 
Back
Top Bottom