October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
R Na L ni makosa ya kisarufi au kimsamiati, kama makosa ya kimsamiati unawezaje kubadilika ??R na L nimejifunza kutofautisha humu humu JF. Waliokua wanakwazika wamenisaidia aisee. Shida wengine standard 1 to 3 ndio tulikua watundu hata shule sometimes hatufiki.