Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

Hakuna chuo kisichoitaji karatasi ya lugha ndio maana mwamba hapo maelezo mengi kachemka kutaja mkapige tu paper British council
Mkuu, acha ujuaji mwingi, penda kujifunza kwa watu wenye experiences na skills. Duh.
Chuo kinaweza sema pua IELTS ni lazma, lakin kikaona sio muhim km degree umesoma kwa Kimombo. Mimi nimepata viwili ambayo nimewatumia email na wamejibu kuwa hawahitaji lugha km natokea Tanzania.
[emoji1787][emoji3]
music mimi ni MUHA
 
Wakubwa habari za muda huu....so sorry kama kuna mweny hints za undegraduate scholarship naomba muongozo...nimeishia kucertify vyeti na kupata passport lakn gks imenitupa kwa deadline yao ....najua mnatafta upande wa masters naomben jmn mnipe information...mahitaji gan niongeze ili niweze kuapply though ielts cjafany 🙏🙏
 
Mkuu naweza kuanza leo au nishachelewa?
 

Jifunze kuelekezwa.
 
Kaka naomba kuuliza, nawezaje kupata condition letters kabla ya deadline ya submission? Maana nimeomba ila bado sijapewa condition letter hata chuo kimoja nilichoomba na deadline imekaribia. Please help!
 
Kaka naomba kuuliza, nawezaje kupata condition letters kabla ya deadline ya submission? Maana nimeomba ila bado sijapewa condition letter hata chuo kimoja nilichoomba na deadline imekaribia. Please help!
Unaweza kusubmit bila hizo letter inaruhusiwa isipokuwa wanasema ifikapo January km sio December uwe nayo.
Lingine jaribu kuwatumia email kuwa unaomba scholarship na conditional ni one of your important attachment watakupa au kukupa reply nzuri tu. Mm walinambia ni wiki 6, niliwatumia wakanitumia within a week
 
Asante sana.
 
Hakuna chuo kisichoitaji karatasi ya lugha ndio maana mwamba hapo maelezo mengi kachemka kutaja mkapige tu paper British council
Siyo kweli, mie nilipata unconditional offer from Swansea University na Essex University kwa hiyo inategemea na vigezo vyao ambavyo kwa mawazo yangu GPA ni kigezo kikubwa.
 
Scholarships ni kwa watu wenye akili.
 
Mkuu, tatizo unajidai unajua na wakati hujui, siyo vyuo vyote uingereza wanataka vyeti vya lugha.

Endelea kuwa mbishi .nenda kakomae na mitihani yako .
Kabisa chief, unconditional offer zinatolewa tu hata bila cheti Cha lugha sema tusipepese macho GPA ni factor hapo kupata iyo unconditional offer
 
Vitu vikigoma, pambana sana, vikigoma pamoja na juhudi zote, achana navyo.
 
Sasa hii chief si kila mtu anapata, ni kulingana na ufaulu wako ndio Kila mtu anapata either conditional au Unconditional offer.
Naomba kueleweshwa kuhusu conditional and unconditional offer
 
NATAFUTA WATU WA AINA 3

1. SIJAPATA AJIRA LAKINI:
- Nimechoka kukaa nyumbani bila kufanya chochote.
~ Nataka kujenga urithi kwa familia yangu.
~ Nahitaji Kipato changu Mwenyewe

2. NIMEAJIRIWA LAKINI:
- Mshahara wangu hautoshi kukidhi mahitaji yangu yote.
~ Nahitaji kipato cha ziada.
~ Natafuta utulivu/uhuru wa kifedha.
~ Nimechoka kusubiri mshahara kila mwezi.

3. NAPENDA KUSAFIRI LAKINI:
~Siwezi kumudu.
~ Mapato yangu ya kila mwezi hayaniruhusu kuweka akiba kwa likizo. ~Sina uhuru wa kifedha.

• Tunatoa Fursa ya Biashara kwa kila mtu ambaye anataka kutimiza malengo na ndoto zake huu mwaka 2024

If You are Interested, Feel free to CLICK THE LINK [emoji116] FOR MORE | WORK WITH ME
[emoji117] In WhatsApp teilen
 
Naomba kueleweshwa kuhusu conditional and unconditional offer
Condition letter inakuwa na masharti maybe ili upewe admission lazima u-submit IELTS certificate au uwe umelipa kiasi fulani cha ada au upeleke barua ya scholarship.. unconditional unatakiwa kulipia gharama za admission then wanakupa admission letter.
 
Issue kubwa ni hiyo IELETS
 
Ushauri Mzuri sana , hata mm nishajaribu zaidi ya mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…