Community airlines ni ya nani?

Community airline naifagilia...Lkn nasikia imesimamishwa je ni kweli? Nipasheni basi.
 

TANGU MKUU WA KAYA ABADILISHE CABINET HII KAMPUNI HAISIKIKI TENA. KUNANI JAMANI?? NAOMBA KUJUA. KWA MWENYE DETAILS
 
official word out is that they r down 4 tech reasons...but who knows? Who ever heard of an airline operating at half the cost? Kwenda Mwz ni nusu ya gharama ya hata National airline! Either walikuwa 'EASY JET' ya Bongo au sisi taxpayers were paying !
 
Acheni Ujinga Na Wivu Wa Kifala Yaani Safari Ya Dakika 45 Mnataka Mpewe Na Msosi Kwanza Hata Hayo Maji Naona Siyo Sawa, Kwani Kama Una Kiu Si Unywe Maji Kabla Ya Ndege Kuondoka. Punguzeni Kula Mahindi Ya Kukaanga Siyo Mazuri Kwa Afya
 
Ila Hako Kanauli Kameniridhisha Sana Tehe Tehe Tehe Jamani Ni Ka Poa Mno
 
Kama ni kweli napenda kumpongeza muheshimiwa Diallo kwanza anaonekana ni mjasiliamali kwelikweli na anaona mbali. Ni opportunuty kuanzisha safari hizo za ndege later anawezakufanikiwa kushindana na airline kubwa kama emirates,klm, etc. Lakini ktk ushindani huduma za ndani ya ndege ni muhimu sana zikawa nzuri na za kishindani otherwise ataishia kushindwa kulipa hata hiyo ndege. Ni gharama hiyo B 737-800 series hata kama ni second hand.
 
Dah community airlines, miaka inaenda aisee
 
Ingekuwa imeanzishwa utawala huu bila shaka ingekuwa mali ya yule mungu mtu uchwara wa tz.
 
Ukiskia kufukua makaburi ndio huku.
Nyuzi kama hizi utakuta RIP nyingi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…