Kuntakinte
JF-Expert Member
- May 26, 2007
- 701
- 34
wewe huoni sasa hivi yupo kimya? Ila ndio anatafuta njia ya kujisafisha kwa kutuonyesha Mahubiri kwa sanaaa kwenye TV yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majita, matukio ya misiba kwenye familia za viongozi mbona siyo ya ajabu. Sidhani kama inahusiana na mtu binafsi maana kama ni hivyo imekuwaje Liundi awe Msajili wa Vyama? Unajua historia ya mke wake...?
Wabongo nao! we acha tu! mwendo wa 45min anataka ale mkate wa nyama aende haja kubwa, akisafiri hongkong itabidi abebe ugali wa lowe!
Mtoto wa mkulima,
Kweli wewe ni mtoto. Case ya mke wa Liundi ipo hata kwenye referrals za sheria.
Kwa ufupi mzee alikuwa kiwembe sana akasahau familia mama akawapa watoto wake sumu naye akanywa ila taji Lihundi alikuwa anatoka shule hakunywa. Watoto wakafariki na mama akawahiwa hospitali akapona, baadaye akashinda kesi.
Ndio maana wana mtoto mmoja tu, Taji Lihundi mtangazaji na mhamasishaji wa Ukimwi ingawa.....
Sometimes nasoma maandiko yako nacheka sasa nimekuelwa vizuri..
Any way tupo kuelimishana.
Gud day
Diallo ni mjasiriamali wa siku nyingi much as sifahamu alizipata wapi hizo pesa lakini yuko kwenye business kabla hajaingia kwenye siasa.
Issue ya mgongano wa kimaslahi (conflict of interest)naona bongo hasa serikali ya awamu ya nne imeliweka kando. Madhara ya hii kitu ni makubwa kupita maelezo pamoja na kwamba serikali ya msanii jk imeamua kuweka pamba masikioni kwenye hili kama ilivyofanya kwenye mengine muhimu.
Wapo viongozi wengi wa sasa wanafanya biashara na serikali wanayoiongoza. Nitoe mfano wa waziri kadamage ambaye ni mmoja wa wamiliki wa TICS. Huhitaji kusoma hata sekondari kujuwa namna utendaji wa TICS ulivyo mbovu usiokuwa na maelezo-yaani hawafai hawafai na hili limepelekea kupoteza wateja wa nchi kadhaa. Lakini pamoja na utumbo wote huu TICS wakiwa mwaka wa 5 wa mkataba wa miaka 10 waliongezewa miaka 15 mingine na kuifanya kuwa miaka 25-Conflict of interest. Me nadhani wachague kimoja siasa au biashara otherwise watz maskini tunalipa gharama ya upuuzi huu.
Jamani mimi nipo tofauti kidogo, tetesi ambazo mimi kama domo kaya nimezisikia na naziweka wazi hapa ni kwamba community air lines ni ya DIALLO, ROSTAM AZIZI + MAMA YETU MPENZI ZAKIA MEGHJI.