Community airlines ni ya nani?

Community airlines ni ya nani?

wewe huoni sasa hivi yupo kimya? Ila ndio anatafuta njia ya kujisafisha kwa kutuonyesha Mahubiri kwa sanaaa kwenye TV yake.
 
Majita, matukio ya misiba kwenye familia za viongozi mbona siyo ya ajabu. Sidhani kama inahusiana na mtu binafsi maana kama ni hivyo imekuwaje Liundi awe Msajili wa Vyama? Unajua historia ya mke wake...?
 
Hatujui mwanakijiji tuambie. Natafuta umea hapa maana baada ya lich nasinzia kichwa kime kwama. Tupe hiyo historia mwana kijiji.
 
Wabongo nao! we acha tu! mwendo wa 45min anataka ale mkate wa nyama aende haja kubwa, akisafiri hongkong itabidi abebe ugali wa lowe!

Hii kali nimecheka nusu saa nzima. Akishaenda haja kubwa akirudi home anamwambia mwenzie choo kichafu sana nilishindwa kujisaidia.... LOL!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtoto wa mkulima,

Kweli wewe ni mtoto. Case ya mke wa Liundi ipo hata kwenye referrals za sheria.

Kwa ufupi mzee alikuwa kiwembe sana akasahau familia mama akawapa watoto wake sumu naye akanywa ila taji Lihundi alikuwa anatoka shule hakunywa. Watoto wakafariki na mama akawahiwa hospitali akapona, baadaye akashinda kesi.

Ndio maana wana mtoto mmoja tu, Taji Lihundi mtangazaji na mhamasishaji wa Ukimwi ingawa.....

Sometimes nasoma maandiko yako nacheka sasa nimekuelwa vizuri..

Any way tupo kuelimishana.

Gud day
 
Kweli fikira duni umenifanya nijicheke sana yaani ushaniona mtoto sio?. Anyway, mkuu unajua fani nyingine za sheria na mambo kama hayo wengine ni mambumbu kabisa. Ila nashukuru kwa kunipa hiyo story japo Taji namfahamu lakini historia ya familia yao sikuwa naifahamu. Poa mkubwa.
 
Sorry Mtoto wa mkulima,

Nilikosea hapo juu, Interested observer amenisahihisha kuwa alihukumiwa kunyongwa ila JKN alimsamehe. yupo mtaani anapeta! Sikutaka ku edit ili ni acknowledge makosa na kumpa Credit Interested observer, Longtime friend in the net!

Asante IO
 
Jamani mimi nipo tofauti kidogo, tetesi ambazo mimi kama domo kaya nimezisikia na naziweka wazi hapa ni kwamba community air lines ni ya DIALLO, ROSTAM AZIZI + MAMA YETU MPENZI ZAKIA MEGHJI.
 
Diallo ni mjasiriamali wa siku nyingi much as sifahamu alizipata wapi hizo pesa lakini yuko kwenye business kabla hajaingia kwenye siasa.

Issue ya mgongano wa kimaslahi (conflict of interest)naona bongo hasa serikali ya awamu ya nne imeliweka kando. Madhara ya hii kitu ni makubwa kupita maelezo pamoja na kwamba serikali ya msanii jk imeamua kuweka pamba masikioni kwenye hili kama ilivyofanya kwenye mengine muhimu.

Wapo viongozi wengi wa sasa wanafanya biashara na serikali wanayoiongoza. Nitoe mfano wa waziri kadamage ambaye ni mmoja wa wamiliki wa TICS. Huhitaji kusoma hata sekondari kujuwa namna utendaji wa TICS ulivyo mbovu usiokuwa na maelezo-yaani hawafai hawafai na hili limepelekea kupoteza wateja wa nchi kadhaa. Lakini pamoja na utumbo wote huu TICS wakiwa mwaka wa 5 wa mkataba wa miaka 10 waliongezewa miaka 15 mingine na kuifanya kuwa miaka 25-Conflict of interest. Me nadhani wachague kimoja siasa au biashara otherwise watz maskini tunalipa gharama ya upuuzi huu.
 
Mkuu hapo nakuunga mkono. Maana kuna kampuni moja iko mitaa ya Mafinga inaitwa "Sao Hilli" inalo karibu mawaziri 3 kama mashareholders na directors(EL, Chenge,Mungai). Sasa hawa wakiomba tenda ya kussupply nguzo pale kwa Dr. Idrissa watanyimwa wakuu?.Azimio la Zanzibar si zuri hata kidogo.

Na kuna kale ka kampuni kalikosajiwa Mauritius(Deep Green) ambapo makatibu wakuu kibao wamo pamoja na former AG(Chenge)
 
Huyu ni mkombozi wa wanyonge mwacheni aendelee kula.Ni kama Robin Hood.Wewe unadhani bila yeye sisi kanda ya Ziwa tungepata tv na redio?Na sasa tunapata shirika la ndege linalotusafirisha kwa bei nzuri.Msimguse.Anakula na wananchi.
 
ebwana ni kweli community ni ya Antony Diallo,lakini masuala ya ndege huwa hainunuliwi kwa keshi,inadidi uwe na kiasi fulani cha kuanzia alafu unapewa ufanyie kazi ili uwe unalipa kila baada ya muda fulani,kitendo hicho kinaitwa leasing,unanunua kwa mkopo ila tu kuna hela inayobodi uwe nayo ya kuanzia.
 
Sisi watanzania...so sad,
Baadhi yetu ni wavivu wa kutafuta habari za ukweli,
Hatuoni aibu kuandika habari za kumpaka mtu matope,
Hatupendi jitihada na mafanikio ya wengine,
na pia hatupendi kujifunza kwa waliofanikiwa,
Hatuko aggressive na issue za maisha yetu binafsi,
Aibu, aibu, aibu kubwa!
 
Jamani mimi nipo tofauti kidogo, tetesi ambazo mimi kama domo kaya nimezisikia na naziweka wazi hapa ni kwamba community air lines ni ya DIALLO, ROSTAM AZIZI + MAMA YETU MPENZI ZAKIA MEGHJI.

Domo kaya

ni ya DIALLO hao wengine unawapakazia tena iko wazi si kwa kificho. kila mtu anajua labda wewe tu. fuatilia documents zote ni zake DIALLO.

mtu kama huyu anashawishi mambo ya Kenya maana anajichotea wazi wazi.na Takukuru wamekaa tu kusubiri walimu wa Primary school au mahakimu wa mahakama ya Mwanzo.

tunahitaji mtu kama NUHU RIBADU toka Nigeria anaye deal na serious Crime amekata magavana zaidi ya 38.Nigeria moto unawaka.
 
Nungwi Huyu Nuhu Ribadu kafanya nini huko Nigeria au kuna mtu ana wasifu wake atupe.
Diallo kaongeza ndege nyingine kazi kwetu.
Posted Date::1/30/2008
Ndege ya pili ya Community Airlines yawasili
Na Mwandishi wetu

NDEGE ya pili ya kampuni ya Community Airlines imewasili nchini jana asubuhi na kuanza kutoa huduma za safiri kwa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana baada ya kuwasili kwa ndege hiyo aina ya Boeing 737-500 yenye uwezo wa kubeba abiria 120, Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Paul Chizi, alisema kuwa imeleta faraja hasa katika kipindi ambacho ndege ya kwanza ilikuwa imepata hitilafu na hivyo kusababisha usumbufu kwa abiria.

"Ilitulazimu kuwa na safari moja kwa siku kwenda Mwanza lakini kwa sasa mambo yamerejea kama kawaida na wateja watu hawatapata usumbufu kama ilivyokuwa kwa siku kadhaa zilizopita," alisema.

Chizi alisema kuwa ndege hiyo itaendelea na safari kama kawaida na kwamba pamoja na kuwa ni ndogo kuliko ya kwanza lakini watu wengi watapata nafasi ya
 
Mimi nafikiri tatizo la hapa kwetu watu wanaanza biashara zao kama hizo ambazo zinastahili sifa kwa kuwa ni uwekezaji wa maana, lakini wanafanya kimya kimya tu kana kwamba hawana uhakika na ufanisi wa mambo baadae au labda vyanzo vyao vya fedha vina utata. Katika hali ya kawaida na ya uwazi, ingefaa wadau wajitokeze na kutueleza wao ni nani ili na sisi tuwaunge mkono wazalendo wenzetu hao.
Jana nilikuwa nachat na jamaa yangu ambaye ni insider (sort of)wa shughuli za Diallo. Amenieleza kuwa katika Community wamo Diallo, Membe na mzee Mengi kati ya wamiliki watano. Hao wengine wawili hawajajulikana bado, labda ni wazito zaidi kwa hiyo wanajificha zaidi(!?). Hili la kumhusisha Mengi na kundi hili kwanza lilinistua kidogo, nikataka kulikataa, lakini nikakumbuka kuwa aliwahi kuanzisha tena shirika la ndege (Tanzania One kama sikosei) na jamaa wengine...
Kwa vyovyote haya mambo hayawezi kuwekwa uvunguni daima. Si kuna watu watakaoweza kwenda huko BRELA na kwingineko kufanya search itakapobidi?
 
Wacheni wivu-kwani ninyi mmekatazwa kuanzasha shirika la ndege?

Mtanzania akijitahidi- mara Fisadi, mara anajidai- basi tu maneno ya maudhi!

Eti pesa katoa wapi?
 
Back
Top Bottom