Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

Hayo yanayoonekana kama viroba ni nini
 
Mwenye jengo alicho sahau ni kwamba mungu anakupa unachostahili na sio unachokitaka.........umeshapewa ridhiki mpaka ukajenga ghorofa sasa ni nini kilichomtuma kwenda kuichimba chimba ndani mpaka ikabomoka yote......haya sasa kakosa mwana na maji ya moto.........ama kweli ndio maana mamba hanaga mapumbu kama mbuzi
 
Uhuni +ubahiri +ujuaji

Ova
 
Kariakoo wanajenga uchafu alafu utawasikia wapumbv fulani wanasema,aise kko sahv zinashushwa magorofa kumbe uchafu

Ova
Hawajui majanga ndio yanaongezeka hapo
Mtu ana maduka zaidi ya 40 kwenye jengo moja halafu tamaa zake za kishenzi anaongeza 40 zingine na serikali ipo inaangalia eti kisa watapata Kodi zaidi
Wa kuwalaumu ni hao hao wanaokula kodi huku wakikenua meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…