Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

Maiti zinawekwa kwenye defender kama gunia. Dah! So sad. Hawana hata decency ya ku respect deceased.
Hili nalo ni tatizo lisilohitaji akili kubwa
Kiongozi anatoa ambulance moja kwenye hospital ya wilaya halafu anajitangaza kabisa
Fungu la majanga lipo kwanini magari ya fire na ambulances zisiwe za kutosha?
Kuna wajinga humu wanakuambia eti majeruhi akiwekwa kwenye pickups tatizo ni nini?
Hata kazi ya ambulance hawaijui kabisa wanadhani linabeba tu ila hawajui kuna huduma ya kwanza humo
Tunaishi nao humu humu ndio pia viongozi vilaza
 
Mwajuma kala hasara , mwajuma kala hasara....jina baya!
Boss angalia video yako kuna Chombo cha usafiri kinapita kwa kasi, Congo barabara imefungwa kabisa huwezi pita kama hivyo. Hapo sio Congo na hilo jengo pia sio lililondoka, naifahamu kariakoo inside out sio kwamba naongea kwa mihemko kama nyie.

We angalia picha ulioeka na hio video ni jengo moja?
 
Ila Tanzania sio ya kwanza kuanguka ghorofa,hata ulaya pia hutokea haya mambo.....note: "siungi mkono wala sitetei ujenzi holela usiofata taratibu za kiujenzi"
Fine, lakini wote ni uzembe//// Compare and contrast......
Boss angalia video yako kuna Chombo cha usafiri kinapita kwa kasi, Congo barabara imefungwa kabisa huwezi pita kama hivyo. Hapo sio Congo na hilo jengo pia sio lililondoka, naifahamu kariakoo inside out sio kwamba naongea kwa mihemko kama nyie.

We angalia picha ulioeka na hio video ni jengo moja?
unanipeleka wapi, masema jengo... magari ymetok wapi tena na my point is angalia nondo zilivyosukwa katika picha hizo mbili. That is my point! compare and contrast
 
TZ watu wengi ni wajuaji, hapo utakuta tajiri nae labda alikuwa anataka aongeze sehemu zaidi, mafundi na wataalamu bongo wakikushauri lazima na ww uwe na akili timamu maana pesa ndo wanahitaji...ukute bosi, wapambe na washauri wote wana tamaa ya kufa mtu.
 
Fine, lakini wote ni uzembe//// Compare and contrast......

unanipeleka wapi, masema jengo... magari ymetok wapi tena na my point is angalia nondo zilivyosukwa katika picha hizo mbili. That is my point! compare and contrast
The point ni kwamba video uliyoweka ni feki, hilo sio jengo husika lililobomoka. So far taarifa iliyokuwepo ni kwamba walitaka kuongeza basement na sio kwamba lina nondo kama hio video yako.

Ushahidi mwengine ni Aerial view ya hilo jengo lililobomoka
images (60).jpeg

1. Jengo sio la kona,
2. Limeezekwa bati juu

Video yako ni jengo la kona, juu halina bati wala hakuna mizigo ya watu ya magodown,

Kama bado unaona hujapigwa Changa la macho endelea kudanganyana na wenzio, am out.
 
TZ watu wengi ni wajuaji, hapo utakuta tajiri nae labda alikuwa anataka aongeze sehemu zaidi, mafundi na wataalamu bongo wakikushauri lazima na ww uwe na akili timamu maana pesa ndo wanahitaji...ukute bosi, wapambe na washauri wote wana tamaa ya kufa mtu.
Wala hujakosea ndivyo walikuwa wanafanya wakulaumiwa wala sio mjenzi wa mwanzo
 
The point ni kwamba video uliyoweka ni feki, hilo sio jengo husika lililobomoka. So far taarifa iliyokuwepo ni kwamba walitaka kuongeza basement na sio kwamba lina nondo kama hio video yako.
NENDA X AND CONFIRM MY VIDEO
 
Back
Top Bottom