Comparing Government Websites of EAC

Comparing Government Websites of EAC

Asante kwa kuniita huku lakini mada kama hizi itakua vigumu sana kuzijadili maana wachache watakua na uelewa wa nini kinajadiliwa, halafu pia kila mtu anachomekea na kujiita mtaalam. Hebu ona kama huyo Annael eti anaponda kisa website inatumia Wordpress.
Mwisho wa siku cha msingi huwa jinsi unavyotengeneza website yako na kuilinda, haijalishi hata kama umeitengeza from scratch au umetumia framework yoyote, na kingine hiyo Wordpress inatumiwa na mashirika ya kutajika kama vile BBC America, Microsoft news n.k. Haya ni mashirika ambayo huwa makini sana kwa kila aina ya teknolojia wanayotumia, hawana Uswahili mwingi na uzembe kwenye maamuzi.
40+ Most Notable Big Name Brands that are Using WordPress

Kuna hata serikali kama vile ya Uingereza wanaotumia Wordpress UK Government Website uses WordPress | Roger Steer

Halafu nikiamua kupoteza wangu niidadavue kitaalam hiyo mnayoisifia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais nitatiririka na mambo mengi tu.
Nimeangalia kwa haraka tu na kuona machache yanayohusiana na performance bado hata sijawaza kuangalia design, na security na mengine.

Haya tu baadhi ya performance issues
Images hazijawa scaled, unakuta zingine ni 2mb
Hawajatumia gzip compression, wamejaza file za scripts na CSS kiholela, na hawajafanya JavaScript parsing deferment
Watumie CSS sprites kufanya combination ya images
Kuna page zingine zina 404 http://ikulu.go.tz/files/gallery/videos/thumbs/IMG_8156.JPG
Ndo maana nikakuita maana walau una taaluma hiyo kama alivyo Annael, binafsi hapa nategemea ubishani wa hoja na sio ubishani wa kishabiki.

Wenye taaluma ndogo na haya mambo tutakuwa tunachokoza mada tu!
 
Asante kwa kuniita huku lakini mada kama hizi itakua vigumu sana kuzijadili maana wachache watakua na uelewa wa nini kinajadiliwa, halafu pia kila mtu anachomekea na kujiita mtaalam. Hebu ona kama huyo Annael eti anaponda kisa website inatumia Wordpress.
Mwisho wa siku cha msingi huwa jinsi unavyotengeneza website yako na kuilinda, haijalishi hata kama umeitengeza from scratch au umetumia framework yoyote, na kingine hiyo Wordpress inatumiwa na mashirika ya kutajika kama vile BBC America, Microsoft news n.k. Haya ni mashirika ambayo huwa makini sana kwa kila aina ya teknolojia wanayotumia, hawana Uswahili mwingi na uzembe kwenye maamuzi.
40+ Most Notable Big Name Brands that are Using WordPress

Kuna hata serikali kama vile ya Uingereza wanaotumia Wordpress UK Government Website uses WordPress | Roger Steer

Halafu nikiamua kupoteza wangu niidadavue kitaalam hiyo mnayoisifia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais nitatiririka na mambo mengi tu.
Nimeangalia kwa haraka tu na kuona machache yanayohusiana na performance bado hata sijawaza kuangalia design, na security na mengine.

Haya tu baadhi ya performance issues
Images hazijawa scaled, unakuta zingine ni 2mb
Hawajatumia gzip compression, wamejaza file za scripts na CSS kiholela, na hawajafanya JavaScript parsing deferment
Watumie CSS sprites kufanya combination ya images
Kuna page zingine zina 404 http://ikulu.go.tz/files/gallery/videos/thumbs/IMG_8156.JPG
Nashukuru sana kwa kuja ndugu yangu japo tuweze sasa kudadavua jambo moja kwenda jingine.
Naomba tuanze na website za serikali ya Kenya na Tanzania.
Hapo kwenye kutumia wordpress sijui kama umenisoma vizuri. Jaribu kufuatilia kile nilichokuwa nakiongelea.
Swala la serikali ni issue sensitive sana. Pale serikali inapoamua kutumia CSS na javascript ambazozipo hosted kwenye kampuni jinginine kabisa na company hilo ni public je, unaona hilo jambo ni sahihi.
Tuanze kwa hapo. Hapa tuna compare vitu viwili. Nawewe elezea positive za Kenya na mimi ninaelezea positive za Tanzania. Na siyo wajibu wangu kuongelea mazuri ya website za kenya wajibu wangu ni kuongelea negatives.

karibu sasa tuanze kudadavua.
Kwanza tuanze na speed za website kufunguka.
 
Kwa jinsi unavyoijadili hii hoja ni wazi huna uelewa au ujuzi wa kudadavua masuala unayong'ang'ania, kuna wataalam kadhaa tena Watanzania humu wamejaribu kukuweka sawa lakini umewapuuza, utawababaisha akina Toyota escudo ili wakushabikie, lakini watu wenye taaluma zao wanapita kimya na kukuhurumia.

Haya sio mambo ya kuweka ushabiki wa Kenya v/s Tanzania, unless kama una kaujinga fulani. Binafsi siwezi kuhusika kwenye ushabiki wa kihivi maana mimi ni consultant kwenye hizi nchi za Afrika Mashariki na huko Tanzania kuna kazi zangu kama ilivyo hapa Kenya, hivyo kwa kuponda upande wowote kishabiki nitakua najiponda pia.

Serikali za hizi nchi huwa wameweka sera/policies za jinsi website zao zinafaa kutengenezwa na nini cha kuzingatia, na kuna taasisi ambazo hutilia mkazo na kuhakiki kama umezingatia sera zote kabla hujalamba hela yao. Labda itokee wawe na uvivu lakini kawaida huwa makini sana tangu tovuti kadhaa zilipodukuliwa. Naomba ukipata fursa usome hii hapa document ya sera za Kenya http://icta.go.ke/pdf/website standards.pdf

Kwenye hilo la Wordpress sioni haja ya kukuelimisha maana unavyong'ang'ania ni wazi haupo tayari kusaidiwa.
 
Nimekucheki tu. Na ninaona hapa umeanza kuongea siasa. Na eti unajiona wewe ni mjuzi sana wa IT kuliko wengine. Na hapo hapo umeniwekea kiwango cha ujuzi wangu wa IT eti sijui. Rafiki mpaka ninaanzisha uzi huu ninajua ninachokifanya. Usijifiche eti kwenye mgongo wa wewe ni Consultant. Hapa tunatumia majina bandia.

kwanza nitakuona wa maana ukikubali website ya portal ya serikali ya kenya ni ya ovyo kabisa.
Hapa hata asiyejua mswala ya IT tukimpatia a,b,c ataelewa tunaongelea nini.
Portal ya Tanzania ni https lakini ya kenya siyo https sasa na hili dogo tu unabisha?

Yaani nchini kwenu hakuna website designer wazuri mpaka mnatumia css na javascript toka kwa wengine? Tena bahati mbaya kabisa zipo hosted kwenye domain tofauti na ya kwenu.
Hivi jambo dogo tu hilo unashindwa kuliona kuwa website yenu security wise is very poor. Kama wewe ni Consultant sehemu utakuwa unafanya kitapeli kuwadanganya wasiojua IT. Nipatie website ulizozitengeneza ili niweze kuku challenge..
 
Nimekuambia huu ubishi au ushindani unaong'ang'anizia humu hutonipata na siwezi kuhusika maana itakua kujishusha kwenye utoto. Masuala ya website huwezi kulinganisha baina ya nchi maana makampuni ya kibinafsi ndio yanapewa kandarasi na hutegemea vitengo vya IT kwenye hizo wizara husika kufanya vetting na pia Egov.

Sasa kwa mantiki yako ina maana websites zote za serikali huko Tanzania zimekidhi viwango vya unachokiona kama ndio most secured. Kwa mfano uliponda Wordpress, sasa utasemea nini tovuti ya ofisi ya waziri mkuu wenu ambayo imetengenezwa kwa Joomla 1.5 ambayo ni ya zamani sana na imepitwa na wakati hata ilitolewa kwenye support mwaka wa 2012.
Yaani tangu wakati huo Joomla imebadilishwa so many versions mpaka leo tunaongea kuhusu version 3.8, hivi huo ni uzembe wa aina gani kiasi kipi hicho Prime Minister's Office
Bwana kwaheri, sijibizani na wewe kwa hili tena, umeonyesha upo chini sana kwenye haya mambo, nina uhakika siku utapata experience halafu upitie huu uzi, utahisi aibu na kuomba upigwe chini na mods.
 
Mi nadhani yupo watu ambao tunatumia thread hizi kujifunza, na kama mlivyobainisha , nilitegemea mnaposema loading speed mtupe ushahidi, maana kiutaalam unapatikana, sio siasa,
Pili, comparison ilipaswa itaje na website katengeneza nan, isije kuwa mbovu za Tanzania zimetengeneza kampuni za Kenya au kinyume chache,

Kwa kusema hivyo maoni yangu ni kama wote tuna lengo la kujifunza basi thread ibadilike iongelee tech products (apps, webapps, etc) ambazo zimetengenezwa kwenye nchi hizi, watengenezaji, na impact kwa jamii ikiwezekana na fedha inayozalishwa kwa kutumia hizi mambo. Ingetusaidia tukajifunza meng huku tukiendelea na utani wa jadi
 
Nimekuambia huu ubishi au ushindani unaong'ang'anizia humu hutonipata na siwezi kuhusika maana itakua kujishusha kwenye utoto. Masuala ya website huwezi kulinganisha baina ya nchi maana makampuni ya kibinafsi ndio yanapewa kandarasi na hutegemea vitengo vya IT kwenye hizo wizara husika kufanya vetting na pia Egov.

Sasa kwa mantiki yako ina maana websites zote za serikali huko Tanzania zimekidhi viwango vya unachokiona kama ndio most secured. Kwa mfano uliponda Wordpress, sasa utasemea nini tovuti ya ofisi ya waziri mkuu wenu ambayo imetengenezwa kwa Joomla 1.5 ambayo ni ya zamani sana na imepitwa na wakati hata ilitolewa kwenye support mwaka wa 2012.
Yaani tangu wakati huo Joomla imebadilishwa so many versions mpaka leo tunaongea kuhusu version 3.8, hivi huo ni uzembe wa aina gani kiasi kipi hicho Prime Minister's Office
Bwana kwaheri, sijibizani na wewe kwa hili tena, umeonyesha upo chini sana kwenye haya mambo, nina uhakika siku utapata experience halafu upitie huu uzi, utahisi aibu na kuomba upigwe chini na mods.
My Friend Your talking too much.
Kujifanya wewe ni mjuzi wakati maarifa yako hapa hatuyaoni itakuwa ni siasa.
Hapa tunaongelea mambo ya kiutalaamu. Na watengeneza website hizo wakipitia hapa wanayarekebisha matatizo hayo.
Ndio maana nimekuambia leta website zako ulizotengeneza tuweze ku challenge. Elewa kichwani mimi pia ni mtaalam wa IT. Kwahiyo twende sawa tu. Mimi nimeanza, halafu hakuna kitu ambacho sikipendi kama developer kutumia CMS kwenye website serious.
 
Back
Top Bottom