Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

You are right only that mkate Kenya ni KShs 50 and not 200 ulivosema hapo. Not sure about TZ though!!

Nilitumia mkate kama mfano tu, je vipi kuhusu bidhaa zingine kwa ujumla, ndani ya soko la uchumi wa nchi ya Kenya?
 
Bajeti yenu ya KILIMO ni Mara mbili ya Tanzania, lakini tunawalisha sisi na watu wenu wanakufa kwa njaa. Bajeti yenu ya MAJI ni Mara tatu ya Tanzania lakini Nairobi haina MAJI, pesa yenu yote inaishia katika mifuko ya politicians. Failed state.
Nimekukubali saana kiongozi. Wakenya Soon wataomba lift bongo. Maana baada ya kumaliza miundominu inayojengwa hapa bongo kwa hela za ndani. Basi Kenya watauziwa mpaka mchanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…