luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hahahahaha bora hata umeniwahi kunirekebisha eunice njeri ndionnilikuwa namumaanisha hapaa hahahaEunice wanjiru - You mean Eunice Njeri/ Evelyn Wanjiru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha bora hata umeniwahi kunirekebisha eunice njeri ndionnilikuwa namumaanisha hapaa hahahaEunice wanjiru - You mean Eunice Njeri/ Evelyn Wanjiru?
Haha jamaa wajiangalieOna saivi wachina wameshaanza kumiminika kukagua koloni lao, wakenya mtashaaView attachment 1087864
You are right only that mkate Kenya ni KShs 50 and not 200 ulivosema hapo. Not sure about TZ though!!
Nimekukubali saana kiongozi. Wakenya Soon wataomba lift bongo. Maana baada ya kumaliza miundominu inayojengwa hapa bongo kwa hela za ndani. Basi Kenya watauziwa mpaka mchangaBajeti yenu ya KILIMO ni Mara mbili ya Tanzania, lakini tunawalisha sisi na watu wenu wanakufa kwa njaa. Bajeti yenu ya MAJI ni Mara tatu ya Tanzania lakini Nairobi haina MAJI, pesa yenu yote inaishia katika mifuko ya politicians. Failed state.
Kwa Tz some a chochote ajira hakunaLol [emoji23] no wonder walikuwa wanang'ang'ania kuja kufanya kazi Kenya.
Ukitaka usiwe unemployed Kenya somea ualimu au udaktari. Hutawahi lala njaa.