Eti eh, ndio ujinga mnasomeshwa shuleni na waalimu wenu huu!!!!!uelewa wa watz ni mdogo sana, ndio maana unaweza toa statement kama hizi. Hali ya Kenya hata ikiwa mbaya, bado ni bora kuliko tanzagiza yenye UDHAIFU
Elimu duni ila ina impact, si unaona umeshindwa kufikiri kwamba kama watoto wetu walikula mavi ya mbuzi[emoji16][emoji16][emoji16]!!!, halafu wakora na mamanzi wakala ya binaadamu hapo CBD.Elimu ya bongo ni duni sana. Mbona watoto wenu hawakuugua kipindupindu licha ya kula kinyesi kila siku???
Mbona wataalam wakauita huu ugonjwa waterborne na sio faecesborne disease?Elimu duni ila ina impact, si unaona umeshindwa kufikiri kwamba kama watoto wetu walikula mavi ya mbuzi[emoji16][emoji16][emoji16]!!!, halafu wakora na mamanzi wakala ya binaadamu hapo CBD.
kweli wanalumumba ni majanga tupu! yaani wewe ulipo ni baba ya mtu lakini unaamini upuuzi wa "kwa pesa zetu za ndani"? magufuli mungu anakuona!Eti eh, ndio ujinga mnasomeshwa shuleni na waalimu wenu huu!!!!!
Inchi haina reserve hata ya kukarabati kipisi cha reli, unakuja kuandika upuuzi mzee!!! Si kosa lako, ukikua utaelewa.
Yes, maji yanakuwa contaminated na hiyo kinyezi za choo, na za vijana cbd, since the single CBD in the world to lack of water is nairobi, kwahiyo maji yoyote yakionekana ni LuLu, kumbe mengine ni maji ya kuoza.Mbona wataalam wakauita huu ugonjwa waterborne na sio faecesborne disease?
Wanalumumba achana nao, wasikuumize kichwa.kweli wanalumumba ni majanga tupu! yaani wewe ulipo ni baba ya mtu lakini unaamini upuuzi wa "kwa pesa zetu za ndani"? magufuli mungu anakuona!
wewe ndio unafaa kulijibu hilo swali maanake inaonekana hamtumii akili! TRA inakusanya kiwango gani cha ushuru?Wanalumumba achana nao, wasikuumize kichwa.
Ukisikia pesa za ndani unaelewa nini!!!, au unaona ni miujiza tu, maana hiyo kitu kenya ni ndoto.
Unaamua kutukana, maana huna hoja tena. Next time ukiwa tayari kupata elimu kwangu hakikisha kichwa chako kimetulia, usinijie na stress za maisha ya kikenya mimi.sika hii-wewe ndio unafaa kulijibu hilo swali maanake inaonekana hamtumii akili! TRA inakusanya kiwango gani cha ushuru?
ukweli sio matusi, revenue ya mwaka mzima 2017/2018 ilikuwa TZS 14trl, bajeti ya 2018/2019 ni Tzs 32trl, recurrent expenditure(mishahara na kadhalika) ni TZS 20.47trl.Unaamua kutukana, maana huna hoja tena. Next time ukiwa tayari kupata elimu kwangu hakikisha kichwa chako kimetulia, usinijie na stress za maisha ya kikenya mimi.sika hii-
TRA, monthly inakusanya roughly 1.3 trl tsh only,mishahara haivuki 600bln tsh, mpaka hapo umeshaelewa tz inakwendaje, au bado!!!
Una akili sawa sawa mzee?? , ndio maana nilikuuliza kwana unaelewa maana ya hiyo kauli!!!!ukweli sio matusi, revenue ya mwaka mzima 2017/2018 ilikuwa TZS 14trl, bajeti ya 2018/2019 ni Tzs 32trl, recurrent expenditure(mishahara na kadhalika) ni TZS 20.47trl.
sasa nionyeshe fedha za ndani.
hiyo kauli ni upuuzi mtupu! kanusha hoja na facts sio mihemko.Una akili sawa sawa mzee?? , ndio maana nilikuuliza kwana unaelewa maana ya hiyo kauli!!!!
Kuna hoja gani ya kukanusha hapo, hivi una fahamu pia unaweza uliza mtu swali ambalo hata wewe muulizaji hulijui.hiyo mauling ni upuuzi mtupu! kanusha hoja na facts sio mihemko.
bra bra bra staki kusikia! tz haina uwezo wakuendesha miradi yeyote bila mikopo! pesa za ndani magufuli anatoa mkunduni.Kuna hoja gani ya kukanusha hapo, hivi una fahamu pia unaweza uliza mtu swali ambalo hata wewe muulizaji hulijui.
Matokeo yake hutaelewa jibu lolote utakalopewa, ndio maana natafura msingi wa swali lako ilipo,maana hauonekani.
Nauliza tena, unajua maana ya neno pesa za ndani???
cc moderatorsbra bra bra staki kusikia! tz haina uwezo wakuendesha miradi yeyote bila mikopo! pesa za ndani magufuli anatoa mkunduni.
kumbe nabishana na mtu ambaye hata hajui kutumia jf! akili za ki ldc ni za ajabu.@ moderator
Unawashwa subiri waje wakukune kiasi, ukajifunze namna wanaume hukaa.kumbe nabishana na mtu ambaye hata hajui kutumia jf! akili za ki ldc ni za ajabu.
Judi's story: How I escaped child marriage in Kenya -Hapa ndio usipime, halafu madaktari wao wachache ukiangalia uwiano wa madaktari kwa idadi ya Watanzania, madaktari wao wanasota mtaani hadi kuna kipindi wangeajiriwa Kenya sema siasa ziliingilia kati.
Jameni umaskini hutesa.
mimi sitishwi na upuuzi! uguza majeraha pembeni.Unawashwa subiri waje wakukune kiasi, ukajifunze namna wanaume hukaa.
pamoja na maendeleo yetu, sisi hatuwachinji zeru zeru.Judi's story: How I escaped child marriage in Kenya -
Pamoja na umasikini wetu lakini hatuna child marriage in Tanzania