mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Eti eh, ndio ujinga mnasomeshwa shuleni na waalimu wenu huu!!!!!uelewa wa watz ni mdogo sana, ndio maana unaweza toa statement kama hizi. Hali ya Kenya hata ikiwa mbaya, bado ni bora kuliko tanzagiza yenye UDHAIFU
Inchi haina reserve hata ya kukarabati kipisi cha reli, unakuja kuandika upuuzi mzee!!! Si kosa lako, ukikua utaelewa.