Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!

Ahaaa haaa haaa
Please if you can avail the report.
Again why comparison was with Kenya?
 
The price of rice

IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9

IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=

Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
 
The price of rice

IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9

IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=

Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
Unaambia nguruwe haziwezi kukuelewa.
 
Reactions: Oii
Budaaa kaza matako, sio kuandika andika hapa JF bila uelekeo.
 
Ahaaa haaa haaa
To understand that distinguish between pathogens and vectors of diseases.
You don't know anything relating to pathogens and their disbursement, Vibrio cholerae is not an enteric bacteria and feacal isn't the vector.
 
The price of rice

IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9

IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=

Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
huu upuuzi mnatoa wapi?? hivi unataka kuniambia kuwa kila type ya rice hapo ldc kwa kilo ni TZS 2000?
mbona usiweke the different types ili tulinganishe vitu sawa.

hii elimu duni ya tanzagiza ni shida kubwa.
 
huu upuuzi mnatoa wapi?? hivi unataka kuniambia kuwa kila type ya rice hapo ldc kwa kilo ni TZS 2000?
mbona usiweke the different types ili tulinganishe vitu sawa.

hii elimu duni ya tanzagiza ni shida kubwa.
Unaambia nguruwe haziwezi kukuelewa.
Asante bingwa mkorinto kumjibu mheshimiwa YoungD, And D stand for........Dumb hence....Young Dumb
 
huu upuuzi mnatoa wapi?? hivi unataka kuniambia kuwa kila type ya rice hapo ldc kwa kilo ni TZS 2000?
mbona usiweke the different types ili tulinganishe vitu sawa.

hii elimu duni ya tanzagiza ni shida kubwa.
Hiyo 2000 ndo mchele super na tena kwa kipindi mchele ni adimu. Ukitaka bei ya mchele wa kawaida kuna msimu unaeza pata mchele hadi kwa 1200 tsh na unafaa kuliwa

Hiyo ndio faida ya kuwa na bidhaa zisizokuwa na packages wala kupigwa kodi. Kila siku huwa nawaambia kuwa kinachozalishwa kingi Tz wala hakiwi computed kwenye GDP yetu at least utakuwa umepata picha .Jamaa ana point mshahara kuupima katika naked figures bila kuangalia purchasing power ya muhusika ni upuuzi ingawa kama data zilizowekwa ni true. Bado madaktari wetu wanalipwa chini ya wanavyostahili ingawa hiyo pesa inawatosha kuendesha daily expenses
 
Mbunge wa Tanzania asema elimu yao ni kifungo badala ya kifunguo cha maisha

Jamas huwa unalalamika habari za Tz kuletwa Ke forum lakini wewe ndio kinara wa kuleta habari mbovu ziwe discussed humu.. Punguza unafki na uje moro ule maisha [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Jamas huwa unalalamika habari za Tz kuletwa Ke forum lakini wewe ndio kinara wa kuleta habari mbovu ziwe discussed humu.. Punguza unafki na uje moro ule maisha [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Mtoe uchafu kwenye macho yenu kabla kututoa sisi, JF upande wa Kenya kila tukileta taarifa kuhusu Kenya mnaponda, hivyo huwa nafanya kuwakumbuahia tu kwamba na kwenu mapungufu yapo tena mengi.
Dah Moro napakumbuka sana milimani huko.
 
Jambo linalonishangaza ni kuwa pamoja na mshahara kuwa mkubwa kiasi hicho lakini bado wanagoma. Wanadai mshahara ni mdogo, kwanini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nakuchangamsha maini kidogo.RELAX. sijui uliupendea nini ule mji bila shaka kuna mtoto wa chuo alikupa vitu adimu akikusindikiza na view ya mount uluguru
 
Jambo linalonishangaza ni kuwa pamoja na mshahara kuwa mkubwa kiasi hicho lakini bado wanagoma. Wanadai mshahara ni mdogo, kwanini?
Hawa jirani zetu ni kuwaombea tu, hata wao wenyewe hawaelewi wanaishije.
 
Asante bingwa mkorinto kumjibu mheshimiwa YoungD, And D stand for........Dumb hence....Young Dumb
kama kawaida, ushabiki wa kijinga tu! umelinganisha mchele upi ndio ukaibuka na bei hizo?? afu mbona Eyce unakubali kuwa bei hubadilika na sio static na pia mchele tofauti una bei tofauti??
 
"Elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha,sio ufunguo" asema mbunge wa CCM Kishimba.

Haya si maneno yangu nimeyatoa jukwaa la siasa ama vipi mkorinto thisdayes
 
Povu ruksa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kama kawaida, ushabiki wa kijinga tu! umelinganisha mchele upi ndio ukaibuka na bei hizo?? afu mbona Eyce unakubali kuwa bei hubadilika na sio static na pia mchele tofauti una bei tofauti??
Soma kuelewa bro. nimekuambia hiyo bei ya 2000 huwa ni kubwa na tena kwa msimu ambao mchele huwa mchache sokoni, nilichomaanisha ni kuwa mchele mara nyingi huuzwa kwa bei ambayo ni less than that.

Mchele kuwa na bei tofauti ni kawaida kutokana na msimu (season).. Wakati wa mavuno au mchele kuwa mwingi sokoni automatically price huwa chini tofauti na kipindi kingine.Hii ni kawaida kwa mazao ya kilimo yaani hata unga huwa vivyo hivyo

Hata Tanzania kuna places huwa na maisha rahisi kuliko maeneo mengine. Doctor anaekaa Dar na anaekaa mbeya hutofautiana ile real income maana Dar maisha ni expensive while Mbeya ni cheaper so, doctor wa mbeya ana saving capacity kubwa kuliko wa Dar. The same applie kwa Kenya vs Tanzania
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…