eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
Ahaaa haaa haaa
Please if you can avail the report.
Again why comparison was with Kenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
Bora sana ndio maana Serukali ya Tanzania inaweza kujenga SGR ya umeme kwa pesa zake
Nyie mmeshindwa hata 1km
Bora sana ndio maana Serukali ya Tanzania inaweza kujenga SGR ya umeme kwa pesa zake
Nyie mmeshindwa hata 1km
Unaambia nguruwe haziwezi kukuelewa.The price of rice
IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9
IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=
Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
Budaaa kaza matako, sio kuandika andika hapa JF bila uelekeo.mbona unajichanganya?? umesema sisi hurudisha pesa, sasa kuhongana na maombi kwa mombasa port, wapi na wapi?? kunywa maziwa bangi itulize makali kwichwani.
SGR ya Kenya ipo inachapa kazi. 600km na supporting infrastructure zote zipo tayari wewe hapo tu ni kupiga ram
You don't know anything relating to pathogens and their disbursement, Vibrio cholerae is not an enteric bacteria and feacal isn't the vector.Ahaaa haaa haaa
To understand that distinguish between pathogens and vectors of diseases.
huu upuuzi mnatoa wapi?? hivi unataka kuniambia kuwa kila type ya rice hapo ldc kwa kilo ni TZS 2000?The price of rice
IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9
IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=
Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
huu upuuzi mnatoa wapi?? hivi unataka kuniambia kuwa kila type ya rice hapo ldc kwa kilo ni TZS 2000?
mbona usiweke the different types ili tulinganishe vitu sawa.
hii elimu duni ya tanzagiza ni shida kubwa.
Asante bingwa mkorinto kumjibu mheshimiwa YoungD, And D stand for........Dumb hence....Young DumbUnaambia nguruwe haziwezi kukuelewa.
Hiyo 2000 ndo mchele super na tena kwa kipindi mchele ni adimu. Ukitaka bei ya mchele wa kawaida kuna msimu unaeza pata mchele hadi kwa 1200 tsh na unafaa kuliwahuu upuuzi mnatoa wapi?? hivi unataka kuniambia kuwa kila type ya rice hapo ldc kwa kilo ni TZS 2000?
mbona usiweke the different types ili tulinganishe vitu sawa.
hii elimu duni ya tanzagiza ni shida kubwa.
Kipindu pindu maana yake ni kula kinyesi TENA kisicho pikwa.
Jamas huwa unalalamika habari za Tz kuletwa Ke forum lakini wewe ndio kinara wa kuleta habari mbovu ziwe discussed humu.. Punguza unafki na uje moro ule maisha [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mbunge wa Tanzania asema elimu yao ni kifungo badala ya kifunguo cha maisha
Jamas huwa unalalamika habari za Tz kuletwa Ke forum lakini wewe ndio kinara wa kuleta habari mbovu ziwe discussed humu.. Punguza unafki na uje moro ule maisha [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoe uchafu kwenye macho yenu kabla kututoa sisi, JF upande wa Kenya kila tukileta taarifa kuhusu Kenya mnaponda, hivyo huwa nafanya kuwakumbuahia tu kwamba na kwenu mapungufu yapo tena mengi.
Dah Moro napakumbuka sana milimani huko.
Hawa jirani zetu ni kuwaombea tu, hata wao wenyewe hawaelewi wanaishije.Jambo linalonishangaza ni kuwa pamoja na mshahara kuwa mkubwa kiasi hicho lakini bado wanagoma. Wanadai mshahara ni mdogo, kwanini?
Asante bingwa mkorinto kumjibu mheshimiwa YoungD, And D stand for........Dumb hence....Young Dumb
kama kawaida, ushabiki wa kijinga tu! umelinganisha mchele upi ndio ukaibuka na bei hizo?? afu mbona Eyce unakubali kuwa bei hubadilika na sio static na pia mchele tofauti una bei tofauti??Hiyo 2000 ndo mchele super na tena kwa kipindi mchele ni adimu. Ukitaka bei ya mchele wa kawaida kuna msimu unaeza pata mchele hadi kwa 1200 tsh na unafaa kuliwa
Hiyo ndio faida ya kuwa na bidhaa zisizokuwa na packages wala kupigwa kodi. Kila siku huwa nawaambia kuwa kinachozalishwa kingi Tz wala hakiwi computed kwenye GDP yetu at least utakuwa umepata picha .Jamaa ana point mshahara kuupima katika naked figures bila kuangalia purchasing power ya muhusika ni upuuzi ingawa kama data zilizowekwa ni true. Bado madaktari wetu wanalipwa chini ya wanavyostahili ingawa hiyo pesa inawatosha kuendesha daily expenses
Soma kuelewa bro. nimekuambia hiyo bei ya 2000 huwa ni kubwa na tena kwa msimu ambao mchele huwa mchache sokoni, nilichomaanisha ni kuwa mchele mara nyingi huuzwa kwa bei ambayo ni less than that.kama kawaida, ushabiki wa kijinga tu! umelinganisha mchele upi ndio ukaibuka na bei hizo?? afu mbona Eyce unakubali kuwa bei hubadilika na sio static na pia mchele tofauti una bei tofauti??