Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majiran sijui huwa mnafeli wapi, mbona mengine mpo vizuri,
 
Eyce amejisemea mwenyewe kuwa chakula Tz hakitozwi kodi afu bei ya mchele hubadilika kulingana na nyakati, hebu tuambie ni nyakati zipi kabla nikukumbushe elimu yenu ni kifungo.
 
49% ya Kenya revenue goes to pay salaries, mostly politicians who make only 2% of the population, majority of Kenyans don't get anything, that's why Kenya is "Man eat man society" aka "Nyang'au"
Hahah eti β€œNang'au”
 
asante kwa kuweka nguvu comment yangu kuwa ni upuuzi kuleta bei hapa bila vigezo linganishi......ni hayo tu kwa sasa!
 
Eyce amejisemea mwenyewe kuwa chakula Tz hakitozwi kodi afu bei ya mchele hubadilika kulingana na nyakati, hebu tuambie ni nyakati zipi kabla nikukumbushe elimu yenu ni kifungo.
Unauliza kuelewa au unauliza ili uendeleze league. Subiri wapenda league wenzio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nakuchangamsha maini kidogo.RELAX. sijui uliupendea nini ule mji bila shaka kuna mtoto wa chuo alikupa vitu adimu akikusindikiza na view ya mount uluguru

Pale kwa kweli nusra nianzishe ushemeji.
Mtz mwenye akili awekeze kwenye kiwanja pale kama kweli reli itakamilika hadi Dodoma maana hako kamji kapo katikati.
 
Mbona wataalam wakauita huu ugonjwa waterborne na sio faecesborne disease?
Hao ni wataalam wa hapo forest sio wa afya,vibrio cholerae anaesababisha cholera husafirishwa na mechanical vector (nzi) na mara nyingi hutua kwenye chakula ambacho hakijafunikwa ,so kuanzia hapo ndio utaelewa ni feacaloral route ndio mostly husababisha cholera
 
Kweli hata mimi huwa nasema.. Kama investiment za Dodoma ingefanyika moro walahi lingeshakuwa jiji. Moro ipo vizuri sema nayo ipo pwani pwani na itageuka kuwa dar ndogo. Dom ipo kibara sana na ina mchanganyiko wa watu wengi hivyo, litakuwa jiji lenye culture tofauti na dar yaani kama ilivyo mwanza au Arusha. Napenda diversity yaani kama ilivyo Nairobi na mombasa
Pale kwa kweli nusra nianzishe ushemeji.
Mtz mwenye akili awekeze kwenye kiwanja pale kama kweli reli itakamilika hadi Dodoma maana hako kamji kapo katikati.
 
ukweli sio matusi, revenue ya mwaka mzima 2017/2018 ilikuwa TZS 14trl, bajeti ya 2018/2019 ni Tzs 32trl, recurrent expenditure(mishahara na kadhalika) ni TZS 20.47trl.
sasa nionyeshe fedha za ndani.
Kwa hesabu za darasa la nne Au? Yani tri 1.3monthly kwa mwaka inakua 14?[emoji23] [emoji23]
 
Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
Nurse hana ujuzi wa kitabibu hata awe amesoma Harvard, hujua zaidi patient cares na kufuata drs order, hawezi diagnose hawafunzwi clinical skills,hawez fanya surgery hata pharmacology yake ni ndogo sana...my fren wewe jikite kwenye mada unazoziweza utaumbuka bure
 
Reactions: Oii
You are completely wrong. Cholera is not a feacal disease but is both foodborne and waterborne disease. Just to correct you,there is nothing like feacaloral route but feacal-oral route.
 
The price of rice

IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9

IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=

Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
Mchele uko hadi Wa buku na mia 6 inategemea uko wap
 
Eyce amejisemea mwenyewe kuwa chakula Tz hakitozwi kodi afu bei ya mchele hubadilika kulingana na nyakati, hebu tuambie ni nyakati zipi kabla nikukumbushe elimu yenu ni kifungo.
Baada ya kumaliza elimu ya msingi kwann hukuendelea seko?vp Au ulifeli
 
You are completely wrong. Cholera is not a feacal disease but is both foodborne and waterborne disease. Just to correct you,there is nothing like feacaloral route but feacal-oral route.
Chambua hadi typing error upate credit, nimesema mostly husababishwaje ...enhee unalingine?
 
Kwa hesabu za darasa la nne Au? Yani tri 1.3monthly kwa mwaka inakua 14?[emoji23] [emoji23]

Hapo tofauti ni negligible, ila swali la YoungD lina mantiki, recurrent zenu ni zaidi ya mapato, hela za ndani za kujenga reli ya matrilion zinatoka wapi.
 
What I want you to know is that cholera is not a feacal disease venue you bobgolala are trying to say.
Chambua hadi typing error upate credit, nimesema mostly husababishwaje ...enhee unalingine?
 
Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
For real? World bank report? Wow, i have confirmed, it is a propaganda tool.
 
Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
Ni sawa mkiwadharau wataalamu wetu wa afya, kwetu ndo hao wanatuhudumia na tunapona magonjwa yetu! Na tunawapenda sana madaktari wetu ambao kwenu ni ma-nurse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…