King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Vivica hafanyi plastic surgery?
Ila kwa mimi, kati ya Wema na Vivica nitamchagua Wema.
Umri haudanganyi.
Sasa Wema pesa mpaka ahongwe bila akiikosa mawazo unadhan ataacha kuzeeka harakaa
Agahahaha wema akifika 45 sijui atakuwaje
Huyo vivica ni noma aisee pamoja na wa kitambo lakini analipa sana nadhani anaishi standard life anafanya mazoezi na kula vzuri tofauti na Wema hana mazoezi mlevi wa vinywaji vikali kutumia mwili vibaya kujichubua kuliko mfanya awe na michirizi na kupoteza mvuto Wema anategemea kuhongwa hela sasa akikosekana wa kumpa hela anafulia na kuwa na stress za maisha mana hana cha kumuingizia kipato
Tena hapa ameweka 360 ivoo
Ngoja niongeze nyingine
Vivica Fox 2012( 48 yrs)
Ni mzuri aisee..nimependa bado yangii had raha
Sasa Wema pesa mpaka ahongwe bila akiikosa mawazo unadhan ataacha kuzeeka harakaa
Huyo wema wamfananishage tu na kina uwoya na wolper, uko mbele mtakuwa mnamuonea maana hawapat hata robo
Mbona kama Mama yake analipa kuliko huyo Wema Au ninaota!She will end up looking like her mother at 45
Vivica 2009(45 yrs)