BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
The power of botox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa uzi hajamaanisha kuwa Vivica ni mdogo kwa wema,anajaribu kumvutia picha Wema akifikisha umri wa huyo mwanamama,maana hata iyo pic ya Wema ni one of her best shots hajaweka ile ya michirizi!mmmh.....mkubwa ni mkubwa tu aiseeeh!!!
Mtoa uzi hajamaanisha kuwa Vivica ni mdogo kwa wema,anajaribu kumvutia picha Wema akifikisha umri wa huyo mwanamama,maana hata iyo pic ya Wema ni one of her best shots hajaweka ile ya michirizi!
Bibi bomba alipandisha na uso(facelifting) mpaka kidevu kikasogea juu incase u didn't notice alipotoka China kucheza 'temptation'
Wanakosea sanaa kumfananisha na wambelezii
Huyo wema wamfananishage tu na kina uwoya na wolper, uko mbele mtakuwa mnamuonea maana hawapat hata robo
Kuna Movie moja inaitwa How Angela got her Groove Back amecheza huyu Vivica Fox nyie acheni! Mzee wa Umenyeni naomba ukaitafute Ni Shiiiiiidaaaaa!
Hao wote Malaya tu...
Vivica hafanyi P.S ila wema anafanya kumbuka mwaka jana nadhani alienda china kurekebisha ngozi yake! Ukiicheki ile movie ya set it off pale alikuwa na miaka 32 mcheck alivyo mtamu. akiwa na miaka 32 mrudishe nyuma alivyokuwa na 26 kama wema alikuwaje? Kama wewe unamchagua wema mpatie picha wema akiwa 50 atakuwa kama Vivica? Mie kwa sasa Ntamchagua Vivica japo ana 50 maana anaonekana mteke mteke kuliko wema.
mnakuwaga pamoja...
Sasa huyo bibi vivica ana uteke gani? Ushamba tu unakusumbua. Kwa taarifa yako huyo vivica nae ni mallaya kumzidi wema.tena anazeeka na umalaya wake.wote mallaya
Lol!,...Jamani umepotelea wapi!, nilikumiss na haya majibu yako...lol!
Mtafute na mama mmoja anaitwa Halle Berry
mh mmenipa changamoto.... let me google how to look forever young.
King Kong III nakuheshimu sana mkuu,hizi post sio za hadhi yako mkuu discussion za namna hii waachie wakina DinazardeUmofia Kwenu wana JF,
Kwanza niwatakie heri katika siku hii ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu JK original.
~Nilikuwa naangalia Movie ya set it off(1996) ya kina Vivica uwa naipenda sana kuingalia mara kwa mara nilikuwa sijawahi kufatilia profile ya huyu dada ghafla nikashangaa kumbe kazaliwa 1964 now ana miaka 50 lakini ukimcheck bado mbichi tofauti na bibi bomba wetu huyu anayecheza miaka kati ya 24 mpaka 26 haishuki wala haipandi,ukimtazama bibi bomba na vivica,sepetunga anaonekana mzee!
~~
Vivica 2014
~~
![]()
~~~
Wema 2014
~~~
![]()
King Kong III nakuheshimu sana mkuu,hizi post sio za hadhi yako mkuu discussion za namna hii waachie wakina Dinazarde
Vipi Usha Gugo?mh mmenipa changamoto.... let me google how to look forever young.
Vipi Usha Gugo?mh mmenipa changamoto.... let me google how to look forever young.