Comparison: Wema Sepetu Vs. Vivica Fox

Comparison: Wema Sepetu Vs. Vivica Fox

mmmh.....mkubwa ni mkubwa tu aiseeeh!!!
Mtoa uzi hajamaanisha kuwa Vivica ni mdogo kwa wema,anajaribu kumvutia picha Wema akifikisha umri wa huyo mwanamama,maana hata iyo pic ya Wema ni one of her best shots hajaweka ile ya michirizi!
Bibi bomba alipandisha na uso(facelifting) mpaka kidevu kikasogea juu incase u didn't notice alipotoka China kucheza 'temptation'
 
Mtoa uzi hajamaanisha kuwa Vivica ni mdogo kwa wema,anajaribu kumvutia picha Wema akifikisha umri wa huyo mwanamama,maana hata iyo pic ya Wema ni one of her best shots hajaweka ile ya michirizi!
Bibi bomba alipandisha na uso(facelifting) mpaka kidevu kikasogea juu incase u didn't notice alipotoka China kucheza 'temptation'

Thanks,you got my point.
 
Wanakosea sanaa kumfananisha na wambelezii

Huyo wema wamfananishage tu na kina uwoya na wolper, uko mbele mtakuwa mnamuonea maana hawapat hata robo

Yap nlikuwa najenga picha tu huyu wema wa miaka 24-26 mbana ukimlinganisha na Vivica wa miaka 50 wema anaonekana mzee? Ila kiukweli wema wa 24(now) na vivica wa 24(then) ni vitu viwili tofauti.
 
Kuna Movie moja inaitwa How Angela got her Groove Back amecheza huyu Vivica Fox nyie acheni! Mzee wa Umenyeni naomba ukaitafute Ni Shiiiiiidaaaaa!

Ntaitafuta mie nlizicheck zile zake 3/2 can play that game yupo na mrembo Gabrielle Union.
 
Vivica hafanyi P.S ila wema anafanya kumbuka mwaka jana nadhani alienda china kurekebisha ngozi yake! Ukiicheki ile movie ya set it off pale alikuwa na miaka 32 mcheck alivyo mtamu. akiwa na miaka 32 mrudishe nyuma alivyokuwa na 26 kama wema alikuwaje? Kama wewe unamchagua wema mpatie picha wema akiwa 50 atakuwa kama Vivica? Mie kwa sasa Ntamchagua Vivica japo ana 50 maana anaonekana mteke mteke kuliko wema.

Sasa huyo bibi vivica ana uteke gani? Ushamba tu unakusumbua. Kwa taarifa yako huyo vivica nae ni mallaya kumzidi wema.tena anazeeka na umalaya wake.wote mallaya
 
At 50 "huruma" atakuwa kama kobe tu!hata sisimizi wataona adhabu kuitambaa ngozi yake kwa makunyanzi!
!
 
Umofia Kwenu wana JF,
Kwanza niwatakie heri katika siku hii ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu JK original.
~Nilikuwa naangalia Movie ya set it off(1996) ya kina Vivica uwa naipenda sana kuingalia mara kwa mara nilikuwa sijawahi kufatilia profile ya huyu dada ghafla nikashangaa kumbe kazaliwa 1964 now ana miaka 50 lakini ukimcheck bado mbichi tofauti na bibi bomba wetu huyu anayecheza miaka kati ya 24 mpaka 26 haishuki wala haipandi,ukimtazama bibi bomba na vivica,sepetunga anaonekana mzee!
~~
Vivica 2014
~~
vivica+fox+green+dress.jpg

~~~
Wema 2014
~~~
Wema-Sepetu-2.jpg
King Kong III nakuheshimu sana mkuu,hizi post sio za hadhi yako mkuu discussion za namna hii waachie wakina Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom