Mi thitumii kiti-motoz bana!...badilisha venyu!Halafu leo tukutane...Toroka uje.....by Preta.....
hahahaha.!
Achana nae huyo, anataka kuamsha "mashetani" yaliyo lala.!
Much luv faizafoxy, compilation nzuri sana...
#Usione Niko Kimya Nasubiri Uropoke# - A-town
Hii imekaa kishari zaidi!...huyu lazima atakuwa @Sweetlady
tunaweza kutofautiana kiimani na kiitikadi za kisiasa lakini mioyoni mwetu sisi sote ni WATANZANIA.!
mara nyingi huwa tunapitiwa na kusahau hili jambo.!
Yamekuwa hayo tena? Unashangaza!
aah! sana tu watu na ma-status yao, hakuna teenager hapoAfu unaweza kuta walioandika hizo comment ni mawaziri au baba na familia zao na huamkiwa na watoto nyumbani.
JF raha sana, unaweza shinda humu th whole weekend ukasahau na kutoka
Nimegundua kupitia thread hii kuwa kuwa kinacholeta mafarakano na magomvi kwa members wa Jf ni Jukwaa la Siasa na la Dini- by PakaJimmy.
aah sana, hata kama huna mtu wa kupiga nae stori sio ishu...kama una stress hum ndani kwisha habari yake...
......hahahaa ii imetulia sana FaizaFoxy
ila natamani niende siasa............ Heaven on earth uje unisindikize!
raha ya humu unachat kama unawafamu vile..
wakati hata hujawahi watia machoni
jf idumu
aah sana, hata kama huna mtu wa kupiga nae stori sio ishu...