Compilation, nasaha za JF

Compilation, nasaha za JF

hahaaaa asante sana my dear, you made my day. Kweli JF ni mahali pa kujifunza mengi kupitia maswali, majibu, signatures na hata mada mbalimbali. Nice weekend to you FaizaFoxy
 
Hii thread bana..kha! hata hasira za kuja kazini leo zimeisha... thanks FaizaFoxy..ubakie hukuhuku!
 
Last edited by a moderator:
Nasaha za JF

Naanza na hizi, mwenye nyingine aendeleze, tujaribu kuweka zile one or two liners:

JF is never boring - The Boss

Ukikutana na Simba au Chui Porini







































































Na hizi ni nasaha za kwenye signatures za JF:

"Makalio ya sufuria hayaogopi moto" - Ndibalema

shuka halina mfuko -
Washawasha

There are things in life that are very difficult to explain.... The Boss
,,,,,,,,Jisachi - KakaJambazi

Sio Kila Mchina anauza Dawa za Makalio,wengine wajenzi wa barabara...WATCH OUT - Smile

"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" - watu8

ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala!!! - Mndengereko

"Bunduki bila risasi yaua namna gani" - Kaizer

[HASHTAG]#Usione[/HASHTAG] Niko Kimya Nasubiri Uropoke# - A-town

'YOUR MIND BELONGS TO YOU,DON'T LET DEVIL USE IT AS TRASHCAN' - REMSA


Na walipoulizwa kuhusu "cheating" baadhi ya majibu yakawa hivi:
Nimecheka looh
 
Na pale wanapoulizwa wanawake wanaume ndiyo vinara wa kutoa mmajibu:

Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Wenye vibamia tumepata mkombozi.

ungemwambia apake mawese Mkuu. bastola ingepenya vizuri tena kwa raha

Hapo kuna mawili dadaangu inawezekana wewe hujui au ni mgeni kwenye masuala ya kungonoka.. Na kwa hyo ukija kuwa mkomavu na tundu lako likishapitisha watot wawili ndo utaona kwann wanaume wanahangaika kukuza maumbile yao na kina mama wanatafuta mishebede minene... Utakuja kuwasema hapa hapa hao vibamia wako.. Kwa taarifa yako papuchi yako itazidi kutanuka kadri unavyokuwa ukishindiliwa na mishebede tofauti lakini kibamia kitakuwa kipo pale pale na ndipo utakapoanza kuona kinapwaya..

Hakika wanawake siku zote hamjawahi kuelewaka mnataka nini, Ni kweli tunapaswa kuishi na nyie kiakili mana mko zaidi ya tofauti

Leo naona sifa kem kem kwa vibamia.

Asanteni Lis na queen of the jungle.

asante kwa kutufariji wenye vibamia
emoji276.png

Wanawake mnatofautiana so jamaa kapata shimo linaloendana na gobore Lake

 
Back
Top Bottom