Nasaha za JF
Naanza na hizi, mwenye nyingine aendeleze, tujaribu kuweka zile one or two liners:
JF is never boring -
The Boss
Ukikutana na Simba au Chui Porini
Na hizi ni nasaha za kwenye signatures za JF:
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto" -
Ndibalema
shuka halina mfuko - Washawasha
There are things in life that are very difficult to explain....
The Boss
,,,,,,,,Jisachi - KakaJambazi
Sio Kila Mchina anauza Dawa za Makalio,wengine wajenzi wa barabara...WATCH OUT -
Smile
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" - watu8
ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala!!! -
Mndengereko
"Bunduki bila risasi yaua namna gani" - Kaizer
[HASHTAG]#Usione[/HASHTAG] Niko Kimya Nasubiri Uropoke# - A-town
'YOUR MIND BELONGS TO YOU,DON'T LET DEVIL USE IT AS TRASHCAN' - REMSA
Na walipoulizwa kuhusu "cheating" baadhi ya majibu yakawa hivi: