ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
......hahahaa ii imetulia sana FaizaFoxy
ila natamani niende siasa............ Heaven on earth uje unisindikize!
Siwezi kuandika kicheko nilichotoa hapa kwenye keyboad ila ukweli umenianzishia weekend yangu murua sana FaizaFoxy.
By the way unaoleka weye?
Thread yako imenikumbusha moja mwanajukwaa aliomba ushauri ukikutana na tembo ufanyeje.Uchokozi huo!
Mamaaa wa vitumbua Lady doctor mumeo anakuita
Acha umbea shem, nilikuwa namtafutia mke mdogo wangu LiverpoolFC yuko bachela muda mrefu.
CC Lady doctor.
Si uongo.
Asalaam Aleykum! kama unaitwa na mumeo nenda bibi dokta, kaiachie.
Afu unaweza kuta walioandika hizo comment ni mawaziri au baba na familia zao na huamkiwa na watoto nyumbani.
Asalaam Aleykum! kama unaitwa na mumeo nenda bibi dokta, kaiachie.
Lol dada FaizaFoxy tafsida wapi.... Ila hujalosea huyu bibie Lady doctor ndo ana ndoa changa juzi tu kaolewa na Arushaone
Aleykum mkristo! Nimeiachia bila hiana sasahivi ni legelege mwilimnzima, yaani kiufupi nimeamka na hangover ya kudenyiwa!