ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
bestito usithubutu kwenda kule siasani yatakupata mabalaa bure
kwani mwenzio jana ile kuingia na kapost kangu ka
SI KILA MTU ATAONJA MJENGONI?
walivyonishambulia kwa :frusty::frusty::frusty: si mchezo yaani hadi
nimepata majeraha ya mdomo hebu ona hapa :tape::tape:
kwani mwenzio jana ile kuingia na kapost kangu ka
SI KILA MTU ATAONJA MJENGONI?
walivyonishambulia kwa :frusty::frusty::frusty: si mchezo yaani hadi
nimepata majeraha ya mdomo hebu ona hapa :tape::tape:
......hahahaa ii imetulia sana FaizaFoxy
ila natamani niende siasa............ Heaven on earth uje unisindikize!