Hii ndo JF, watu hatujuani humu ila full kupeana burudani...mi mwenyewe namfahamu mtu mmoja tu humu...JF rahatupumie siwajui watu hum........lakin nina makaka madada....
Stori kwa kwenda mbele........
They are damn so creative
Ukijamba kwa hasira ....UTAJINYEA
ukijamba kwa hasira ... utatia aibu!
Tangu jana naingia humu ila sielewi kitu serious....
Nipeni mwangaza jamani
mie siwajui watu hum........lakin nina makaka madada....
Stori kwa kwenda mbele........
na ukilisukuma lazima litoke...hapana mkuu utasukuma gogo
ha ha ha ha qwi qwi qwina ukilisukuma lazima litoke...
Lol dada FaizaFoxy tafsida wapi.... Ila hujalosea huyu bibie Lady doctor ndo ana ndoa changa juzi tu kaolewa na Arushaone
Nimecheka loohNasaha za JF
Naanza na hizi, mwenye nyingine aendeleze, tujaribu kuweka zile one or two liners:
JF is never boring - The Boss
Ukikutana na Simba au Chui Porini
Na hizi ni nasaha za kwenye signatures za JF:
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto" - Ndibalema
shuka halina mfuko - Washawasha
There are things in life that are very difficult to explain.... The Boss
,,,,,,,,Jisachi - KakaJambazi
Sio Kila Mchina anauza Dawa za Makalio,wengine wajenzi wa barabara...WATCH OUT - Smile
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU" - watu8
ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala!!! - Mndengereko
"Bunduki bila risasi yaua namna gani" - Kaizer
[HASHTAG]#Usione[/HASHTAG] Niko Kimya Nasubiri Uropoke# - A-town
'YOUR MIND BELONGS TO YOU,DON'T LET DEVIL USE IT AS TRASHCAN' - REMSA
Na walipoulizwa kuhusu "cheating" baadhi ya majibu yakawa hivi:
kumbe upo nilidhani umetoweka mzima lakiniHii thread bana..kha! hata hasira za kuja kazini leo zimeisha... thanks FaizaFoxy..ubakie hukuhuku!
yaani nilipoteza namba yako waonaje ukanitumia tena hahahahaaaaaThen comment zinakuja kivyovyote au kuna formula?
Wenye vibamia tumepata mkombozi.
ungemwambia apake mawese Mkuu. bastola ingepenya vizuri tena kwa raha
Hapo kuna mawili dadaangu inawezekana wewe hujui au ni mgeni kwenye masuala ya kungonoka.. Na kwa hyo ukija kuwa mkomavu na tundu lako likishapitisha watot wawili ndo utaona kwann wanaume wanahangaika kukuza maumbile yao na kina mama wanatafuta mishebede minene... Utakuja kuwasema hapa hapa hao vibamia wako.. Kwa taarifa yako papuchi yako itazidi kutanuka kadri unavyokuwa ukishindiliwa na mishebede tofauti lakini kibamia kitakuwa kipo pale pale na ndipo utakapoanza kuona kinapwaya..
Hakika wanawake siku zote hamjawahi kuelewaka mnataka nini, Ni kweli tunapaswa kuishi na nyie kiakili mana mko zaidi ya tofauti
asante kwa kutufariji wenye vibamia
Wanawake mnatofautiana so jamaa kapata shimo linaloendana na gobore Lake