Compilation, nasaha za JF

Compilation, nasaha za JF

hahahahahahaha...hureee ...JF noumaa.... never get bored..
 
Na jambo hili ndio binafsi hunifanya nisiwe mchangiaji sana kule Siasani...watu kule huwa wanasahau wengine sisi ni Watanzania tuo na itikadi zozote...ila tunatambulika tu kama Watanzania.

tunaweza kutofautiana kiimani na kiitikadi za kisiasa lakini mioyoni mwetu sisi sote ni WATANZANIA.!
mara nyingi huwa tunapitiwa na kusahau hili jambo.!
 
Back
Top Bottom