Hii maanake ni kuwa mla cha wenzie na chake huliwa!huyu muhenga wako kasemaje? au ndo yule wa 'kimya kingi kina mshindo mkubwa'
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii maanake ni kuwa mla cha wenzie na chake huliwa!huyu muhenga wako kasemaje? au ndo yule wa 'kimya kingi kina mshindo mkubwa'
Huyu mhenga ni yule aliyesema umaridadi huficha umasikini![emoji1]![]()
Naomba mnikumbushe huyu mhenga alisemaje??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba picha ya mhenga aliesema hasomeshi wazazi.
Haloo we jamaa umefika mpaka huku ,twenzetu tukatoe stress kuuuleee![]()
Mhenga aliyesema "chombo cha kuzama hakina usukani"
Jamaa unachekesha kishenzi, eti kwa mara ya kwanza![]()
Huyo aliyekaa kifua wazi na kitambaa kichwani alikuwa ndio kwa mara ya kwanza anamwambia huyo mwenye kofia "ukistaajabu ya musa utaona ya firauni"
![]()
Wahenga hawa ndio waliosema "akili ni nywele kila mtu ana zake"
Hahahaha mkuu umemuona huyo muhenga?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahaha,... Huyu lazima alisema Umaridadi huficha umaskini![]()
Naomba mnikumbushe huyu mhenga alisemaje??
Hapa umechemsha. Upwa ni pwani. Ungetuonyesha bahari labda