Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Acha uoga! Maandiko yanasema, msimuogope yule anayweza kuangamiza mwili kisha baada ya hapo hana cha kufanya. Bali muogopeni yule ambaye anaweza kuangamiza mwili na Roho. Yaani Mungu pekee.Naona unatafuta matatizo... Haya bana. Akishakamatwa maumivu utapata wewe na familia yako. Wewe furahisha tu jukwaa ila kumbuka hakuna hata member moja wa Jf atakuja kukuokoa