Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Naona unatafuta matatizo... Haya bana. Akishakamatwa maumivu utapata wewe na familia yako. Wewe furahisha tu jukwaa ila kumbuka hakuna hata member moja wa Jf atakuja kukuokoa
Acha uoga! Maandiko yanasema, msimuogope yule anayweza kuangamiza mwili kisha baada ya hapo hana cha kufanya. Bali muogopeni yule ambaye anaweza kuangamiza mwili na Roho. Yaani Mungu pekee.
 
Acha uoga! Maandiko yanasema, msimuogope yule anayweza kuangamiza mwili kisha baada ya hapo hana cha kufanya. Bali muogopeni yule ambaye anaweza kuangamiza mwili na Roho. Yaani Mungu pekee.
Sawa. Ila kumbuka pia maandiko yamesema tiini mamlaka zinazowaongoza kwa kuwa serikali zote duniani zinawekwa na Mungu.... Endeleeni tu!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
He try to win our hearts

Sent from my DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
f87e318d9516afedf53da73c6dc7c35c.jpg

Mhenga aliyesema bangi nibangue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my ZUK Z2131 using JamiiForums mobile app
 
jaman mbavuu zanguuuuuu nimecheka mpaka watu wananishangaa

Sent from my Magnus bravoZ10 using JamiiForums mobile app
 
Muhenga aliyesema unataka kula kula tu Bila wewe kuliwa
64cfac08d015ff8ecc63b43c6f787333.jpg

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Napata funzo kuwa kumbe ipo cku nasi tutakuja kuzeeka km huyu jamaa

mwerevu
 
Huyo ni Makwaia wa Kuhenga. Haya semeni

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • dogokuhenga.jpg
    dogokuhenga.jpg
    9.5 KB · Views: 70
Back
Top Bottom