Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Dah mshana jr umeninyima raha ya usingizi....ngoja nikasafishe mazingira nje maana mbu ukiwaendekeza madhara yake ndo haya.
[emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
3187993b7d20129c76137bebf1595031.jpg


Huyu Mhenga ni kaka yake Mshana Jr ila sijui alisema nini miaka hiyo BAPA ndio znaingia
Kipya kinyemi ingawa kidonda

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Uyu ni muhenga aliyesema, " usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli,sasa wewe unataka kula tu bila kuliwa, haiwezekani".

sent from kuzimu
 

Attachments

  • jakaya-kikwete-3.jpg
    jakaya-kikwete-3.jpg
    42.9 KB · Views: 44
Kizazi cha laana hiki! msiwadharau&msiwadhalilishe babu/bibi zetu!ni sifa za kipumbavu kupost picha kama hizi!ndo maana mkapa aliwaita wapumbavu&malofa!
Dats joke man!hujisikii unafuu hata Leo umecheka kidogo...?chill man relax..

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Hii bongo ina mambo sana.

Yaani kwa siku hizi za usoni, suala la wahenga limekua likitikisa mitandaoni hasa Whatsapp.

Ebu tizama hizi meme za wahenga hapa.


IMG-20170712-WA0040.jpg

IMG-20170712-WA0037.jpg

IMG-20170712-WA0040.jpg

IMG-20170712-WA0035.jpg

IMG-20170712-WA0032.jpg

IMG-20170712-WA0031.jpg

IMG-20170711-WA0121.jpg

IMG-20170711-WA0126.jpg

IMG-20170711-WA0118.jpg


Ongeza nyingine..

Alafu tuseme km wahenga wetu ndo wamekua wakudharau hivi.
 
Infact haukua hela nyingi...ilikua ya mboga tu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom