Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

71e1e2a29b519e6de22ef1c77234661b.jpg
wahenga waluosema MAPENZI NI KIPOFU
 
Msamiati ya WAHENGA kila unapopita.

fail to plan = plan to fail.
 
Big up Mr.President......inaelekea baada ya hapo kwenye mlango anaingia shambani na gum boots zake.
Mfano wa kuigwa
..siyo likizo munakimbilia Dubai au South Africa
 
Big up Mr.President......inaelekea baada ya hapo kwenye mlango anaingia shambani na gum boots zake.
Mfano wa kuigwa
..siyo likizo munakimbilia Dubai au South Africa
Kila siku muwaige wao ya kwenu mtayafanya lini?
 
Hili neno "Muhenga" sasa limeshika umaarufu kupita maelezo...

Sent from my bomberdia 4500 L6
Nasikitika ni jambo linalotokea kwa bahati mbaya, ingekuwa ni kwa makusudi basi huu utaratibu ni mzuri wa kuzusha maneno ili kuokoa kizazi kinachotopea kwenye uzungu.

Tulianza na Mubashara sasa ni mhenga/wahenga

nYaNi wA KaLe
 
Sisi wahenga tunachekesha aisee

Sent from my Iphone 7 using Jamiiforums mobile app
 
Mhenga huyu sijui atakuwa maeingia msituni huko aliko sasa🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😵
 
Back
Top Bottom