Culture De Town
Member
- Oct 15, 2020
- 10
- 7
Hii ya pili naona iko poa sanaIpi kozi nzuri kati ya hizi
1/ Computer engineering - UDOM
2/ cybersecurity and digital forensics - UDOM
Naombeni ushauri wenu jamani
Anaez soma computer engineering then aspecialize kwenye cyber security ambayo zote hzi ziko applicable everywhere uwez kusoma 2 then usome ya kwanza achague anapotaka kwenda kama hana mpango wa kuongeza elimuKasome hiyo ya pili achana na computer engineering
Tatizo uchumi ela sina million 3 kwa mwaka...wale wahindi wana bei kubwa sanaBadala ya kupoteza miaka minne UDOM kwenye hizo kozi ni bora uende Unique academy pale upanga Ukapige INFORMATION SECURITY kwa miaka mitatu.
Bado cjakuelewa mkuuKama kuna chuo kingine umechaguliwa tofauti na Dodoma CIVE,chaguo hicho chuo.Hachana na CIVE.Kwa sasa hivi hotonielewa,ukienda pale hasa kwa hiyo course ya pili,utaikumbuka hii comment trust me....!
Kwa nin?Kama kuna chuo kingine umechaguliwa tofauti na Dodoma CIVE,chaguo hicho chuo.Hachana na CIVE.Kwa sasa hivi hotonielewa,ukienda pale hasa kwa hiyo course ya pili,utaikumbuka hii comment trust me....!
Unamaanisha cybersecurity and digital forensics kwa UDOM hawafundishi fresh auKwa nin?
Njoo cyber hapo ila uwe unasoma tu ...maana hapa unadisco au unaacha chuo mwenyewe.. welcome CIVEUnamaanisha cybersecurity and digital forensics kwa UDOM hawafundishi fresh au
Nenda kasome Computer Engineering.Ipi kozi nzuri kati ya hizi
1/ Computer engineering - UDOM
2/ cybersecurity and digital forensics - UDOM
Naombeni ushauri wenu jamani
Hahahaha uliikimbia nini mzeeeKwa nin?
Soma hiyo Computer engineeringIpi kozi nzuri kati ya hizi
1/ Computer engineering - UDOM
2/ cybersecurity and digital forensics - UDOM
Naombeni ushauri wenu jamani
Dadavua kidogoBadala ya kupoteza miaka minne UDOM kwenye hizo kozi ni bora uende Unique academy pale upanga Ukapige INFORMATION SECURITY kwa miaka mitatu.
Huu ushauri kwakwl haufaiii[emoji1787]Nenda kasome cyber apo dodoma mdogo wangu,kwanini kwasababu kwasasa hakuna chuo kinachotoa iyo course Tanzania hii zaidi ya UDOM na Pili iyo course Haina watu wengi japo inahitaji sana potential yako ,pia kazi ni chache laiki zinatoka Chamuhimu uwezo wako na nguvu yakujua mambo inahitajika sana lakini Cha mwisho nikwamba apo kudisco ni kawaida sana