Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Watu tumesoma social protection miaka hyo ilikuwa inatolew ifm tu na South Africa kwa africa tuko apo tunateseka tu kama wengineHuu ushauri kwakwl haufaiii[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tumesoma social protection miaka hyo ilikuwa inatolew ifm tu na South Africa kwa africa tuko apo tunateseka tu kama wengineHuu ushauri kwakwl haufaiii[emoji1787]
Hivi huwa mnafanya kazii maeneo gani degree ya social protection.Watu tumesoma social protection miaka hyo ilikuwa inatolew ifm tu na South Africa kwa africa tuko apo tunateseka tu kama wengine
Usifananishe coz ya IT na Business cjui uchumi..Watu tumesoma social protection miaka hyo ilikuwa inatolew ifm tu na South Africa kwa africa tuko apo tunateseka tu kama wengine
Sasa wewe hujulikani hata unaprotect niniWatu tumesoma social protection miaka hyo ilikuwa inatolew ifm tu na South Africa kwa africa tuko apo tunateseka tu kama wengine
Hahahaa ety kudisco why mkNenda kasome cyber apo dodoma mdogo wangu,kwanini kwasababu kwasasa hakuna chuo kinachotoa iyo course Tanzania hii zaidi ya UDOM na Pili iyo course Haina watu wengi japo inahitaji sana potential yako ,pia kazi ni chache laiki zinatoka Chamuhimu uwezo wako na nguvu yakujua mambo inahitajika sana lakini Cha mwisho nikwamba apo kudisco ni kawaida sana
Mkuu kwn kile chuo kipo vizur kweny hii couse au nd kam wenzao Arusha Cyber lakin subject business nying 😂😂😂😂😂Badala ya kupoteza miaka minne UDOM kwenye hizo kozi ni bora uende Unique academy pale upanga Ukapige INFORMATION SECURITY kwa miaka mitatu.
Mnawaibia Siri vijana 🤔🤔🤔Badala ya kupoteza miaka minne UDOM kwenye hizo kozi ni bora uende Unique academy pale upanga Ukapige INFORMATION SECURITY kwa miaka mitatu.
Kumbe we ulidhania nnUnamaanisha cybersecurity and digital forensics kwa UDOM hawafundishi fresh au
Aende unique mkuuu udsm siasa nyingi pale na kupoteza muda tuNenda kasome cyber apo dodoma mdogo wangu,kwanini kwasababu kwasasa hakuna chuo kinachotoa iyo course Tanzania hii zaidi ya UDOM na Pili iyo course Haina watu wengi japo inahitaji sana potential yako ,pia kazi ni chache laiki zinatoka Chamuhimu uwezo wako na nguvu yakujua mambo inahitajika sana lakini Cha mwisho nikwamba apo kudisco ni kawaida sana