Computer Engineering na Cybersecurity and Digital Forensics Engineering - ipo kozi bora?

Computer Engineering na Cybersecurity and Digital Forensics Engineering - ipo kozi bora?

Kasome hiyo ya pili achana na computer engineering
Anaez soma computer engineering then aspecialize kwenye cyber security ambayo zote hzi ziko applicable everywhere uwez kusoma 2 then usome ya kwanza achague anapotaka kwenda kama hana mpango wa kuongeza elimu
 
Ipi kozi nzuri kati ya hizi
1/ Computer engineering - UDOM
2/ cybersecurity and digital forensics - UDOM
Naombeni ushauri wenu jamani
Nenda kasome Computer Engineering.

Mtu comp engineering anaweza apply kazi za cyber ila mtu wa cyber hawezi fanya kazi kama engineer.
 
Nenda kasome cyber apo dodoma mdogo wangu,kwanini kwasababu kwasasa hakuna chuo kinachotoa iyo course Tanzania hii zaidi ya UDOM na Pili iyo course Haina watu wengi japo inahitaji sana potential yako ,pia kazi ni chache laiki zinatoka Chamuhimu uwezo wako na nguvu yakujua mambo inahitajika sana lakini Cha mwisho nikwamba apo kudisco ni kawaida sana
 
Huu ushauri kwakwl haufaiii[emoji1787]
 
Back
Top Bottom