Computer Engineering na Cybersecurity and Digital Forensics Engineering - ipo kozi bora?

Watu tumesoma social protection miaka hyo ilikuwa inatolew ifm tu na South Africa kwa africa tuko apo tunateseka tu kama wengine
Hivi huwa mnafanya kazii maeneo gani degree ya social protection.

Ndo Bank,Tra na Nssf eeeh
 
Hahahaa ety kudisco why mk
Badala ya kupoteza miaka minne UDOM kwenye hizo kozi ni bora uende Unique academy pale upanga Ukapige INFORMATION SECURITY kwa miaka mitatu.
Mkuu kwn kile chuo kipo vizur kweny hii couse au nd kam wenzao Arusha Cyber lakin subject business nying πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aende unique mkuuu udsm siasa nyingi pale na kupoteza muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…