Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

Watu wapo kwenye free na open source kama linux . Na nimesha kuambia usiangilie kile unachokijua wewe tu. Kuna Framework zakutengeneza applications. Kwamfano ukifanya coding kwa kutumia python unalipia nini? Django unalipia? Laravel, Editors kama VSCode unalipia?
Ivi unajua Instagram ni Django?
Na hapa tunazungumzia anaeanza. Ukiona unangangania sana sijui windows ujue wewe kwenye IT bado. Kwa mfano

Windows server os ni Milion 2 na ushee. Lakini ukienda kwenye Linux server ni Free. Pia hata ukija kwenye ishu za security kuna software nyingi ambazo ni free na ukitumia unasecure mifumo.
ku intall software yoyote ni pesa. Bure inakujaje. Labda ungesema kuna unafuu.
kuinstall hizo development softawre unaliwa bando za kutosha.
Mfano ili uinstall android studio na vikolo kolo vyake sio chini gb 10. Bado utatumia internet ktk kudevrlop unachotaka.
Wazungu ni wajanja sana hskyba kitu watakupa bure, na ubora ndio utaulipia mara mboli.
Mkuu wewe huliwi band kwenye haya mambo ? Kaa chini jumlisha bando unazojaza af uje utuambie mwenzetu unapataje bure.
Mimi siioni bure.
 
Windows server os ni Milion 2 na ushee. Lakini ukienda kwenye Linux server ni Free
Kumbuka wabongo wangapi au watu wangapi wana penda linux application software compare to window.
Ubuntu niliijua tangu 2008 lakini sikuwahi kuitaka kuinstall mpaka leo( sio user friend).
Softawre za maana kuwa bure tayari ni gape kubwa kwa nchi masikini na first world, hii inaenda hadi kwenye hardware.
Kimsingi tupambane tu ila kuja kuwa kama kina Altman kwa mwendo huu wa bure bure hatufiki.
Softawre za bure zinakusaidia kujifunza mambo tu ila professional IT mfuko lazima utoboke tu.
Nilikuwa nataka ni interact na scratch pl ili niweze kuanzisha project za watoto wanaonizunguka. Baada ya kuingia kwenye website yao nimeamua niache kwanza maama lazima utengebeze account kinachofuata ni bando za maana. Sasa mtoto wa kiaftika anachake !
Nakubeliana na wewe ktk mtazamo.
Kila mtu ana mtazamo wake na uelewa wake japo lazima tuwe na mtazamo unaoleta manufaa kwa wote.
 
mbona weupe tu hakuna mweusi hata mmoja?
71. Maxence Melo-mwanzilishi wa Jamii Forums.
72.
 
Watu wapo kwenye free na open source kama linux . Na nimesha kuambia usiangilie kile unachokijua wewe tu. Kuna Framework zakutengeneza applications. Kwamfano ukifanya coding kwa kutumia python unalipia nini? Django unalipia? Laravel, Editors kama VSCode unalipia?
Ivi unajua Instagram ni Django?
Na hapa tunazungumzia anaeanza. Ukiona unangangania sana sijui windows ujue wewe kwenye IT bado. Kwa mfano

Windows server os ni Milion 2 na ushee. Lakini ukienda kwenye Linux server ni Free. Pia hata ukija kwenye ishu za security kuna software nyingi ambazo ni free na ukitumia unasecure mifumo.
Well said
 
pornhub,xvideos n.k
waanzilishi wa hizi kampuni wao hawajafanikiwa?
Umesahau xHamster , YouPorn , Bellesa , OnlyFans , Adult Time au sio bwana mfano jamaa wa OnlyFans Leonid Radvinsky, ni billionaire
 
Ifike wakat sasa serikal iruhusu watu wafungue site kama hizi
 
Kilicho wabeba ni IQ zao kubwa, sio kama wewe .
 
Back
Top Bottom