Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

Mkaanga sumu wa magufuli utafikiria robot,acha wahuni wamsaidie kumpelekea moto mkewe
 
Kumbe mambo ni rahisi hivi, sasa hawa wanaoshinda mitandaoni eti wanatafuta wenza wa kufunga ndoa huku wakiambatisha na msururu wa vigezo huwa wanakwama wapi?.
 
Mwenyezi Mungu awape ndoa ya furaha ,amani ,uvumilivu na mafanikio hapa duniani na kesho mbinguni aaamin aaamin πŸ™
 
Sawa kabisa, ngoja sie wengine tuendelee kuandika cv zetu jf kwa kutafuta wenza utadhani tunaomba ajira CIA maana cv ndefu na bado member wa humu wakupige maswali daahπŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…