Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

Oooh pesa oooh pesa. Pesa baba yako ni nani manoti hela manoti pesa oooh. R.I.P Mtoro Ramazan Ongara.
 
Leo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi.
View attachment 1923901

Kada huyu ambaye anafanya kama Ofisa Makao Makuu ya Chama. Alikuwa msaidizi wa karibu sana kwa aliyekuwa Katibu wa NEC, Siasa na uenezi, Ndg Humphrey Polepole.

Mkewe ni wakala wa Ulimbwende wa kampuni maarufu ya Black Fox Models Africa.

Harusi hiyo imefanyika katika viunga vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Tuwatakie ndoa njema na yenye furaha.

View attachment 1923900
Wanaume tafuteni pesa nguvu za kiume zitakuja tu zenyewe,ila nasikia jamaa ndo kimbola cha uvccm
 
Back
Top Bottom