Comrades, msiwe na wasi Bandari ya Bagamoyo haitajengwa hata kama Serikali ikitaka hivyo

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja.

Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka mawe ya msingi wanavyotaka lkn Bandari haitojengwa, kwa maana hakuna Pesa, …
 
Kazi ipo

IMG-20211204-WA0204.jpg
 
Serikali yetu huwa ina tabia ya kubuni miradi mikubwa bila kujua pesa za kuiendesha zitatoka wapi, wanakaa wanatuambia tuache tabia ya kutembeza bakuli nje halafu wakirudi ndani wanabuni miradi ya gharama kubwa wasiyo na uwezo wa kuitekeleza, jamaa hawajitambui.
 
Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja.

Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka mawe ya msingi wanavyotaka lkn Bandari haitojengwa, kwa maana hakuna Pesa, …
Sawa kwahiyo tuendelee na uboreshaji wa chato intnl airport! Au nasema uongo ndugu yang.
 
Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja.

Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka mawe ya msingi wanavyotaka lkn Bandari haitojengwa, kwa maana hakuna Pesa, …
Bado haujaufatilia huu mradi. China ni mjenzi, mwendeshaji na mkusanya madeni. sehemu ya pesa inatoka Oman
 
Back
Top Bottom