Sawa kwahiyo tuendelee na uboreshaji wa chato intnl airport! Au nasema uongo ndugu yang.Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja.
Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka mawe ya msingi wanavyotaka lkn Bandari haitojengwa, kwa maana hakuna Pesa, …
Bado haujaufatilia huu mradi. China ni mjenzi, mwendeshaji na mkusanya madeni. sehemu ya pesa inatoka OmanHuo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja.
Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka mawe ya msingi wanavyotaka lkn Bandari haitojengwa, kwa maana hakuna Pesa, …