Conbell yamfungia Messi miaka 2!

MZEE WA MAHABA NIUE HAAHAA
 
Barcelona kabla ya Messi ilibeba mataji... tuonyeshe Messi nje ya Barca anabeba nini?
 
Barcelona kabla ya Messi ilibeba mataji... tuonyeshe Messi nje ya Barca anabeba nini?
Unaona ulivyo hutumii akili?!
Barca ina uefa tano.
Uefa moja imepatikana kabla ya ujio wa messi.
Uefa nne imepatikana messi akiwa barca.
Na messi ndie aliyeiandikia barca historia ya kuwa team ya club ya kwanza kuwa na fifa club world cup kufikia tatu 2015.
Na akiwekea record ya kuchukua trible ya vikombe sita tofauti ndan ya msimu mmoja mwaka 2015.
Na akatangazwa kuwa best playmaker 2015.
We mtu wa wapi??
 

Umeongea ukweli mtupu 🙏🏿
 
Reactions: PNC

Umeniwahi,,
 

Mkuu soma kwanza nilichokiandika ndio utoe POVU[emoji3]
Acha kukurupuka kama bashite[emoji3]
Sijasema messi hana kiwango nachokisema ni kwamba Messi nje ya Barcelona hachezi kwa kiwango na huo ubavu anao uoneshaga barca hana,,,,
Professional players wote duniani akihama timu anaonesha maajabu yaleyale kama ile timu alioihama
Kwamfano Christian ronaldo aliondoka Man untd akiwa nyota akaenda madrid akazidi kua nyota
Ronaldinho aliondoka milan akiwa nyota ea italy akaenda barcelona akazidi kuwa nyota
Kina rooney walitoka everton wakaja man untd wakawaka zaidi
Na kina fabregas kina kaka kina coutinho na wengine wengi tu
SASA NIKUULIZE SWALI MOJA,
Timu ipi messi alihama akiwa nyota akaenda timu ingine akazidi kuwa nyota?????
KAJAMAA KAPO HAPOHAPO BARCA TANGIA MIAKA13[emoji3]KANAZEEKEA HUMOHUMO[emoji3]
Tim kibao duniani zimetoa dau na dau lkn hakataki kuondoka kalishajijua[emoji3]
Mfano hai timu ya Taifa hakajawahi kuonesha maajabu hata siku moja,,lkn timu ya taifa ya spain ilishawahi kuchkua kombe la dunia miaka ya juzi tu
Argentina mara ya mwisho kuchkua ni miaka ya kina maradona[emoji3]
 
Hebu tuhabarishe La Pulga ana assist ngapi huko Copa America? Japo kuwa sikatai ni kweli Brazil kabebwa sana kwenye hii michuano
 
Messi ni KIANDE tu.....
 
Ndio maana nakwambia unaropoka.
NA BADO UTAKUWA UNAROPOKA.
MESSI ARGENTINS KUFANYA MAAJABU YAFUATAYO.
1)GOLDEN BOOT WINNER 2014 WORLD CUP.
2)TOP ASSIST 2014 WORLD CUP.
3)MAN OF THE MATCH OF ALL TIME FIFA WORLD CUP.
4)KAIPELEKA ARGENTINS FINAL WORLD CUP 2014.
5)MAGOLI YAKE NA ASSIST ZAKE 80% NDIO YAMEIFANYA ARGENTINS KUINGIA FINAL TATU ZA COPA AMERICA.
6)KAIOKOA ARGENTINS NA KUPOTEZA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA MWAKA JANA KWA KUIFUNGIA MAGOLI MATATU.

WEWE UNAZUNGUMZIA MAAJABU GANI
 
Kiujumla yey ndiye anaongoza kwa michuano ya copa America ana 12 assists na Kiujumla na yeye ndiye top assist ktk michuano ya copa America.
Hebu tuhabarishe La Pulga ana assist ngapi huko Copa America? Japo kuwa sikatai ni kweli Brazil kabebwa sana kwenye hii michuano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…