Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
me ni shabki wa hii team lakin naiona kama kuna kitu walikoseaga na mbaya zaidi messi ndo anabebeshwa lawamaIle timu ina laana ya kutuua mablack ili wabaki watu weupe nitawaombea milele waendelee kufanya vibaya
kumbe walchomaga ma black eti?
ndo maana sioni player mweusi