Conbell yamfungia Messi miaka 2!

Conbell yamfungia Messi miaka 2!

Ile timu ina laana ya kutuua mablack ili wabaki watu weupe nitawaombea milele waendelee kufanya vibaya
me ni shabki wa hii team lakin naiona kama kuna kitu walikoseaga na mbaya zaidi messi ndo anabebeshwa lawama

kumbe walchomaga ma black eti?
ndo maana sioni player mweusi
 
Unaona ulivyo hutumii akili?!
Barca ina uefa tano.
Uefa moja imepatikana kabla ya ujio wa messi.
Uefa nne imepatikana messi akiwa barca.
Na messi ndie aliyeiandikia barca historia ya kuwa team ya club ya kwanza kuwa na fifa club world cup kufikia tatu 2015.
Na akiwekea record ya kuchukua trible ya vikombe sita tofauti ndan ya msimu mmoja mwaka 2015.
Na akatangazwa kuwa best playmaker 2015.
We mtu wa wapi??
Kwa hiyo kabla ya messi barca walikuwa hawana kitu?...
Haya malizia jibu lako.. Nje ya barca amebeba nini?
 
Umeona mkuu eeeeh kajaribu sana kuibeba team lakin hili halionekani
me ni shabki wa hii team lakin naiona kama kuna kitu walikoseaga na mbaya zaidi messi ndo anabebeshwa lawama

kumbe walchomaga ma black eti?
ndo maana sioni player mweusi
 
Unauliza maswali ya kitoto.
Kabla ya messi kuja barca ilikua ina makombe ya ligi machache na uefa moja tu.
Hayo manne na records zingine za trible ambazo Ronaldo kashindwa kuipa Realmadrid messi ndio kaipa Barcelona.
Jibu la swali lako la pili messi amejitahidi kuibeba team ya taifa imeshindikanika lakini kajiwekea records binafsi za uchezaji bora.
Kama kuwa top assists wa copa America all time.
Kama kuwa mtu wa tatu ktk all time top assist of world cup.
Kama kupata Golden ball ya world cup 2014.
Kuongoza tuzo za man of the match world cup hadi sasa.
Nambie Ronaldo kajiwekea records binafsi km hzi?!
Kwa hiyo kabla ya messi barca walikuwa hawana kitu?...
Haya malizia jibu lako.. Nje ya barca amebeba nini?
 
Unauliza maswali ya kitoto.
Kabla ya messi kuja barca ilikua ina makombe ya ligi machache na uefa moja tu.
Hayo manne na records zingine za trible ambazo Ronaldo kashindwa kuipa Realmadrid messi ndio kaipa Barcelona.
Jibu la swali lako la pili messi amejitahidi kuibeba team ya taifa imeshindikanika lakini kajiwekea records binafsi za uchezaji bora.
Kama kuwa top assists wa copa America all time.
Kama kuwa mtu wa tatu ktk all time top assist of world cup.
Kama kupata Golden ball ya world cup 2014.
Kuongoza tuzo za man of the match world cup hadi sasa.
Nambie Ronaldo kajiwekea records binafsi km hzi?!
Safi!
Akikujibu Nitagg Hahaha Team Waviziaji Wana Shida Sana
 
Yaani wewe ndio wanaoshangilia umiliki wa mpira badala ya ushindi kwanza.
Tangu nianze kubishana na wewe hakuna sehemu nimemkataa messi tofauti na wewe unaemkataa ronaldo na kumuita mviziaji.
... hatubishani assist wala magoli hapa ila mataji National team...
Ronaldo ana EURO+UEFA NTL.,. Sema Messi alichonacho tufunge mjadala mkuu)

Hivyo tu
 
Safi!
Akikujibu Nitagg Hahaha Team Waviziaji Wana Shida Sana
Hivi mtu kushinda kombe ambalo ni mechi saba tu mpaka fainali ndo kuna mfanya awe mchezaji bora wa muda wote hapa duniani!?
 
me mwenyewe mkuu nilishangaa ghafla tu fainali!
sasa sijui walicheza kuanzia makundi saa ngapi? hahaha
 
Messi tokea alipoenda kumlilia Guadiola amuondoe Kikosini Ibrahimovic kisa tu anafunga magoli ambayo yanamfunika nilimuona ni mpumbavu kuliko na nilikuwa nawafahamisha watu hawanielewi nadhani kwa comment zake watu washajua andunje ni zero kabisa na ubongo wake uko miguuni
Kijamaa kina roho mbaya sana, anaboa sana anapomuwekea kauzibe Icard kisa alimpora mwanamke Max.
 
saana tu kocha vicent del boscque aliongea na babake messi mzee akakataa kata kata ata messi mwenyewe alikuwa anataka kucheza spain yaan ni kama nyumbani kwake. maana alienda ana miaka kumi tu mpaka leo yupo pale.
ARG ndio sahihi kwake... Mr Captain
 
Nadhani sasa timu yao ya taifa inaweza kufanya vema maana mastaa wengi matokeo 0
 
IMG_5407.JPG
 
Back
Top Bottom